Mchumba anatafutwa!

Mchumba anatafutwa!

Hamchelewi kuwa wembambaaaaa kama mmekosa lishe Bora utotoni, anyway kila LA kheri.
 
Kwahyo sisi tulioishia darasa la saba B hamtutaki [emoji17][emoji17].

Mna nafasi, rusha ndoano huwezi jua [emoji38] kwa jinsi wasomi wanavyothibitisha kufail katika mahusiano na ndoa kadri kadri siku zinavyoenda, niamini nachokwambia darasa la saba/ au form four kwasasa watarudi kwenye soko kwa kasi kubwa sana na wala muda si mrefu ujao. Kwahy cha msingi jiongezee uwezo tu katika maeneo mengine, sababu mwisho wa siku hata elimu bila kuelimika ni kazi bure, Tanzania tuna wahitimu wengi sana lkn wasomi wachache if you know what I mean.
 
Back
Top Bottom