mchumba anatafutwa

mchumba anatafutwa

hahahahahahahahaha eti mweupe, nyie ndo mnasababisha desperate chickenhead chicks waji bleach, i like them black and beautiful na wanaojiheshimu tena wenye IQ nzuri
 
Serious na kwa dhati kabisa natafuta msichana aliyetayari kuingia kwenye ndoa na kuanzisha nae familia kama mume na mke baada ya kufahamiana na kuridhiana. Kama hauko serious tafadhali kaa kando kwani sitaki mambo ya kupotezeana muda.

WASIFU WANGU;Serious na kwa dhati kabisa natafuta msichana aliyetayari kuingia kwenye ndoa na kuanzisha nae familia kama mume na mke baada ya kufahamiana na kuridhiana. Kama hauko serious tafadhali kaa kando kwani sitaki mambo ya kupotezeana muda.

WASIFU WANGU;
Jinsia: Mwanaume
Elimu yangu: juu(chuo)
Umri: 32 yrs
Mwonekano: Mwembamba kiasi, urefu wa wastani, mweusi kiasi.
Dini: mkristo ( katoliki)
Kazi: mwajiriwa/biashara/kilimo pia
Uhusiano: nipo single na sijawahi kuoa.
Mtoto: sina
Pombe: situmii
Sigara: situmii
Nyumbani: natatokea kanda ya ziwa
Makazi ya sasa: dsm

WASIFU WA MLENGWA;
Jinsia yake; msichana
Umri wake; asizidi 22-28 yrs
Mwonekano wake: awe na umbo la wastani ( sio mwembamba sana au mnene sana, au mfupi kabisa), mweupe au maji ya kunde atapewa kipaombele.
Dini yake; mkristo ( mcha mungu wa kweli)
Kazi yake; yoyote halali au hata kama hana kazi sawa
Uhusiano: awe single, hajawahi kuolewa.
Watoto: asiwe na mototo
Vilevi; asitumie pombe wala sigara au kilevi cha aina yoyote
Nyumbani: mwenyeji wa kanda ya ziwa atapewa kipaombele.

Kwa msichana yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious kwa kuingia kwenye ndoa tuwasiliane Via Pm only

Utakua na matatizo umri wote huo? huna mpenzi.... aisee una hatari... Mapenzi ya izi social network unapoteza mda wako
 
hyo posti ya pil umeharibu ya mwanzo bt gdluck man!
With every beat of my heart
I feel yours inside of mine,
Together they beat as one
Keeping perfect time.

With every beat of my heart
I hear yours inside of mine,
Our chance to be together
The beat says it's nearly time. Sono così stanco di aspettare il tuo amore Ciello..
 
Hahahah manoah bwana....

Last edited by a moderator:
hyo posti ya pil umeharibu ya mwanzo bt gdluck man!

With every beat of my heart
I feel mine loving you,
And with every beat of yours
I know you love me too. per favore il mio amore Ciello sto aspettando il tuo amore ..
 
Kamwombe msamaha maureen ataku4give usiogope....

No! Ciello For with every beat of my heart
Inside I feel the pain,
Right now mine beats alone
And I'm missing you again. Forget kuhusu Maureen she doesn't love me..... because of you..
 
......................hi:target:.............................................
 
Serious na kwa dhati kabisa natafuta msichana aliyetayari kuingia kwenye ndoa na kuanzisha nae familia kama mume na mke baada ya kufahamiana na kuridhiana. Kama hauko serious tafadhali kaa kando kwani sitaki mambo ya kupotezeana muda.

WASIFU WANGU;Serious na kwa dhati kabisa natafuta msichana aliyetayari kuingia kwenye ndoa na kuanzisha nae familia kama mume na mke baada ya kufahamiana na kuridhiana. Kama hauko serious tafadhali kaa kando kwani sitaki mambo ya kupotezeana muda.

WASIFU WANGU;
Jinsia: Mwanaume
Elimu yangu: juu(chuo)
Umri: 32 yrs
Mwonekano: Mwembamba kiasi, urefu wa wastani, mweusi kiasi.
Dini: mkristo ( katoliki)
Kazi: mwajiriwa/biashara/kilimo pia
Uhusiano: nipo single na sijawahi kuoa.
Mtoto: sina
Pombe: situmii
Sigara: situmii
Nyumbani: natatokea kanda ya ziwa
Makazi ya sasa: dsm

WASIFU WA MLENGWA;
Jinsia yake; msichana
Umri wake; asizidi 22-28 yrs
Mwonekano wake: awe na umbo la wastani ( sio mwembamba sana au mnene sana, au mfupi kabisa), mweupe au maji ya kunde atapewa kipaombele.
Dini yake; mkristo ( mcha mungu wa kweli)
Kazi yake; yoyote halali au hata kama hana kazi sawa
Uhusiano: awe single, hajawahi kuolewa.
Watoto: asiwe na mototo
Vilevi; asitumie pombe wala sigara au kilevi cha aina yoyote
Nyumbani: mwenyeji wa kanda ya ziwa atapewa kipaombele.

Kwa msichana yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious kwa kuingia kwenye ndoa tuwasiliane Via Pm only

ok................................
 
Jamani CV yangu imekosa kigezo kimoja tu.Vigezo vyote ninavyo lakini nina miaka 29.Kama CV yangu inakufaa ni PM mkuu.
 
Back
Top Bottom