Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Kabila gani ww[/CHAGGA BOY
Kila na kheri mkuu, ila uwe makini kama uko serious.[ yap niko serious
Kila na kheri mkuu, ila uwe makini kama uko serious.[NIKO SERIOUSLY
Baada ya kupata na kufahamiana, tafuteni muda mzuri na wa kutosha wa kufahamiana ana kwa ana na si kwa kupitia mitandao. Best wishes.[ sawa mkuu.
Unajua kupiga katerero??
Mchaga na katerero wapi na wapi?
Habar ndugu wanabodi. Mimi ni kijana wa kiume. Ninaishi arusha. (Kazi) mimi ni mjasiriamali kwa maana ya kujiajiri mwenyewe. Nilizaliwa miaka (25) iliyopita. Kusudio langu hapa natangaza nia ya kumtafuta kama sio kumpata mchumba ambaye atakuja kuwa mwenza wa maisha. NB. SIJAOA WALA SINA MTOTO. MCHUMBA NIMTAKAYE AWE NA SIFA HIZI. Umri 19 -22. awe anatoka mikoa ya kasikazini hususani kilimanjaro. awe mwenye hofu ya mungu. Na kikubwa zaidi awe muumini wa kanisa katoliki. Nafikiri sifa nyingne tutazirekebisha baada ya kufahamiana. Good sunday
Like Page yetu ya Facebook uweze kujipatia Mchumba unayemtaka: Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More[/ facebook sina akaunt mkuu!
Like Page yetu ya Facebook uweze kujipatia Mchumba unayemtaka: Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More[/ facebook sina akaunt mkuu!
Jiunge Facebook ni bure, hutozwi chochote..
Unajua kupiga katerero??[NDIO NINI HICHO?