Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Habar ndugu wanabodi. Mimi ni kijana wa kiume. Ninaishi arusha. (Kazi) mimi ni mjasiriamali kwa maana ya kujiajiri mwenyewe. Nilizaliwa miaka (25) iliyopita. Kusudio langu hapa natangaza nia ya kumtafuta kama sio kumpata mchumba ambaye atakuja kuwa mwenza wa maisha. NB. SIJAOA WALA SINA MTOTO. MCHUMBA NIMTAKAYE AWE NA SIFA HIZI. Umri 19 -22. awe anatoka mikoa ya kasikazini hususani kilimanjaro. awe mwenye hofu ya mungu. Na kikubwa zaidi awe muumini wa kanisa katoliki. Nafikiri sifa nyingne tutazirekebisha baada ya kufahamiana. Good sunday