Mchumba anatakiwa

Mchumba anatakiwa

Kafuta

Senior Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
119
Reaction score
29
Natafuta mchumba na baadae aje awe wife..mie ni mwanaume 31yrs ft 5.5 maji ya kunde.niko mwanza. elimu yake iwe ya kawaida tu..din yeyote..kabila pia sichagui coz hatuhtaj kutambika kwenye familia yetu..mwenye nia thabiti ani-pm.vigezo na mashart kuzingatiwa.
 
Siulishaweka hili tangazo?

Weka bango mjini utapata.
 
Una Vogue..? manake kuna jamaa kule chit chat kafurumushwa na GX100 yake:lol:.. kila la kheri mkuu
 
mkuu nenda mwananyamala,komakoma,tandale kwa mtogolr au buguruni rozana watoto kibaaao wanatafuta wa kuwaoa
 
Natafuta mchumba na baadae aje awe wife..mie ni mwanaume 31yrs ft 5.5 maji ya kunde.niko mwanza. elimu yake iwe ya kawaida tu..din yeyote..kabila pia sichagui coz hatuhtaj kutambika kwenye familia yetu..mwenye nia thabiti ani-pm.vigezo na mashart kuzingatiwa.

Okoka kwa muda utapata

Siulishaweka hili tangazo?

Weka bango mjini utapata.

Wewe anakufaa vigezo na sifa unazo kuwa mke wa jamaa
 
Kwa gia hiyo sidhani kama utapata mtu hapo,ungekuwa dar ningekuagizia mitaa flani ya tmk au kwa arusha ungeanzia shivers. Mrina. Nk huko nna hakika ungepata japo wa single use. Kutapeliwa and kuibiwa. Kutazingatiwa vilevile,pale sugarray kuna mmoja aliniambia anatafuta mwanamume ungeenda hapo unaweza mkuta bye.
 
Back
Top Bottom