du, mpaka naogopa kujibu maswali mengine sasa kwa kuakisi angalizo walilonipa wadau wengine kuwa itakuwa kama namdhalilisha wakati kiuhalisia si lengo hata kidogo!
Alaaah!! kumbe choo kigumu huambatana na mashuzi?asijishindilie mamisos,
Akinywa maji na kula mboga za majani atapata choo kilain ,nadhan atakuwa hapati choo ndio maana anajamba hovyo
sikubahatika hata kuiona hiyo mada yenyewe. hapana, hatuhusianiKuna mtu alikuja humu kuomba ushauri sababu anajamba sana
Nadhani mtoa mada hii ndio partner wake
Alaaah!! kumbe choo kigumu huambatana na mashuzi?