Mchumba anatoa mashuzi mno!

Mchumba anatoa mashuzi mno!

Akikisha kabla ya kulala awe anajisaidia haja kubwa kupunguza gesi tumboni pia muwe mnawasha feni na kujifunika mashuka tofauti
 
Jaribu kumchunguza kama anafanya hyo michezo au ni ugonjwa..
Ila kujamba pia ni afya.
 
Mkuu too much ukitoka nje ukirudi ndani ushuzi ukikaa hujakaa sawa ushuzi...umeinama uvunguni kidgo uvute kitu ukiinuka ushuzi...khaa nkajisemea Hapana huyu mtu sio bure mwache aende tu....
dah, we dada umenichekesha sana aisee!!
 
Mkuu ilo tatizo lako ni dogo sana ambalo mwenzio anatoa hewa chafu wakati mmelala.... Ina maana na wewe pia una tatizo la kilosa usingizi... Nendeni wote mkamuone daktari......

Angalizo
sidhani Kama ni tatizo kubwa ndani ya ndoa yako Kuna wengine Wana tatizo la kulowesha godoro kila siku hapo si ungehama nyumba kimya kimya.. jua kutunza Siri dogo nna wasiwasi hata ukiapa kiapo Cha ndoa utatoa hizo Siri za ndani
shukrani sn
 
Hio sio ishu sana,ila jua kua hata yeye lazm anafahamu Ana tatzo hlo na cku ukikaa nae kumueleza ndo utajua manake atakwambia nafahamu kuwa nina tatzo hilo
Cha kufanya kaa nae chini liongee kiume ktk namna ambayo hatojiskia vbaya then mkamchek mtaalamu wa afya basi mchezo umeisha
ahsante
 
Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!

Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na akilala tu kazi inaanza tena hadi asubuhi.

Hili jambo linanikera kiukweli na imefikia mpaka vimaswali fulani vya kishetani visivyo vyema vinanijia kuhusu historia yake (waungwana mtakuwa mmenielewa hapa).

Naombeni ushauri wadau maana sioni kama ni sahihi kukwazana na hata kufika mbali kwa sababu yenye aibu km hii.

ANGALIZO: mi ni me na huyo mchumba ni KE

Ongea naye kwa upole huenda ana tatizo tumboni, kuna binti mmoja kizungu alikuwa na tatizo hilo, yeye alikuwa anapiga 24hrs
 
Back
Top Bottom