Mama Mzungu
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 215
- 369
Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!
Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na akilala tu kazi inaanza tena hadi asubuhi.
Hili jambo linanikera kiukweli na imefikia mpaka vimaswali fulani vya kishetani visivyo vyema vinanijia kuhusu historia yake (waungwana mtakuwa mmenielewa hapa).
Naombeni ushauri wadau maana sioni kama ni sahihi kukwazana na hata kufika mbali kwa sababu yenye aibu km hii.
ANGALIZO: mi ni me na huyo mchumba ni KE
[emoji1787][emoji1787] bora huyo. Mimi nilikuwa na mpenzi akifika kileleni lazima ajambe [emoji1][emoji31]. Nilichoka mimi.