Mchumba anatoa mashuzi mno!

Mchumba anatoa mashuzi mno!

Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!

Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na akilala tu kazi inaanza tena hadi asubuhi.

Hili jambo linanikera kiukweli na imefikia mpaka vimaswali fulani vya kishetani visivyo vyema vinanijia kuhusu historia yake (waungwana mtakuwa mmenielewa hapa).

Naombeni ushauri wadau maana sioni kama ni sahihi kukwazana na hata kufika mbali kwa sababu yenye aibu km hii.

ANGALIZO: mi ni me na huyo mchumba ni KE

[emoji1787][emoji1787] bora huyo. Mimi nilikuwa na mpenzi akifika kileleni lazima ajambe [emoji1][emoji31]. Nilichoka mimi.
 
Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!

Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na akilala tu kazi inaanza tena hadi asubuhi.

Hili jambo linanikera kiukweli na imefikia mpaka vimaswali fulani vya kishetani visivyo vyema vinanijia kuhusu historia yake (waungwana mtakuwa mmenielewa hapa).

Naombeni ushauri wadau maana sioni kama ni sahihi kukwazana na hata kufika mbali kwa sababu yenye aibu km hii.

ANGALIZO: mi ni me na huyo mchumba ni KE
Huo ushizi unanuka? Tuanzie hapo kwanza
 
Ni aina ya starehe sawa na kupumua
 
Kuna mke, hawara, na malaya...huyu aloleta uzi huu sijui atakuwa yupi kati ya hao
 
Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!

Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na akilala tu kazi inaanza tena hadi asubuhi.

Hili jambo linanikera kiukweli na imefikia mpaka vimaswali fulani vya kishetani visivyo vyema vinanijia kuhusu historia yake (waungwana mtakuwa mmenielewa hapa).

Naombeni ushauri wadau maana sioni kama ni sahihi kukwazana na hata kufika mbali kwa sababu yenye aibu km hii.

ANGALIZO: mi ni me na huyo mchumba ni KE
We bado Mdogo.
K Yake ndio itakuwa inatoa hizo sauti, mwanaume rijali tunapenda hizo sauti.
Kama humpendi muache huyo Dada usije ukamuoa ukaanza kumtesa
 
Ipo shida hapo. Huenda wababe washasepa na marinda...
 
Back
Top Bottom