Mchumba anatoa mashuzi mno!

Mchumba anatoa mashuzi mno!

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!

Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na akilala tu kazi inaanza tena hadi asubuhi.

Hili jambo linanikera kiukweli na imefikia mpaka vimaswali fulani vya kishetani visivyo vyema vinanijia kuhusu historia yake (waungwana mtakuwa mmenielewa hapa).

Naombeni ushauri wadau maana sioni kama ni sahihi kukwazana na hata kufika mbali kwa sababu yenye aibu km hii.

ANGALIZO: mi ni me na huyo mchumba ni KE
 
Ongea naye kama anahisi tatizo lolote hasa la tumbo.Kisha nendeni wote hospitali kwa msaada zaidi.

Huko kama kuna tatizo watakuambia au kama ni ishu ya vyakula vinamletea gesi tumboni watakuambia na watampa schedule ya chakula ili kumaliza hili tatizo.

At least ungepeleka hii kero yako jukwaa la jf doctor ila hapa ni kama unampiga majungu tu.
 
Ongea naye kama anahisi tatizo lolote hasa la tumbo.Kisha nendeni wote hospitali kwa msaada zaidi.Huko kama kuna tatizo watakuambia au kama ni ishu ya vyakula vinamletea gesi tumboni watakuambia na watampa schedule ya chakula ili kumaliza hili tatizo.
At least ungepeleka hii kero yako jukwaa la jf doctor ila hapa ni kama unampiga majungu tu.
Ahsante, ngoja niangalie namna ya kuhamisha. nilisahau kbs kuhusu jf doctor, shukrani!
 
Mkuu hapo sina mchango wa maana ila navyodhani mimi inakubidi utafute namna ya kumwambia mwenzako kwa namna ambayo ataipokea kwa mtazamo chanya sio wa kumfedhehesha, kwa mfano mkizungumza umwambie kwa kupitia matani hapo utapata pa kuanzia.
shukrani, una maana tu mchango wako huu!
 
Back
Top Bottom