Nadhani walishaoana tuChichi huyo mchumba wako nakushauri achana nae. Kama anaweza megwa kwenye uchumba, ktk ndoa si ndo itakuwa balaa? Amini usiamini huyo au hao jamaa wanaommega anawapenda vilevile, na anaweza endeleza nao libeneke hata ukishamwoa, na hapo unaweza kuja kujinyonga mzee!!!! Anza, tafuta mwingine
Nadhani walishaoana tu
Huenda nimemegewa pia hahahahahaEbana eeh nini kimekufanya uiibue hii mada?
Huenda nimemegewa pia hahahahaha
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae".
Baada ya hapo maisha yakatuweka mbali takribani miezi mitano, lakini tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara... Chako ni chako tu, nilianza kuhisi mabadiliko kwenye mawaasiliano yetu na hiyo iliniumiza kichwa sana, Mungu si athumani siku isiyokuwa na jina nikapata kalikizo, nikaamua ku pay a suprise visit huko kwao...mengi yakatokea lakini la muhimu niligundua kuwa mwenzangu alianzisha mahusiano yasiyo rasmi kama mawili, akakiri kuwa ni kweli amemegwa na hao washkaji kwa muda tofauti...
Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia...
Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu....
Nisaidieni wajameni...
Nadhani walishaoana tu
Kwa jinsi ninavyokuaminia, lazma umepata update fulani!
Namsikitikia sana huyo dada, amesahau kwamba when a man discovers your infidelity, he never trust that relationship again hata kama anasamehe.
Kwenye mahusiano ni lazima kutumia ile tool ya 'if nobody knows, it never happened'
hata wanawake huwa ni hivyo hivyo
chichiNi kiasi gani cha muda mtu anahitaji kusahau... Tatizo lipo hapo natamani ningeweza kuchukua uamuzi tofauti, kwani tangu nilipojua nimekosa amani, the Body is willing but the Spirit is too weak, kifupi nampenda sana huyu binti, itz just i cant live with the fact kuwa kuna wageni walimtembelea.
nawatandelea kumtembelea so get prepared!! Kimsingi huyo siyo riziki unahitakufanya maamzi mazito, it will torch your heart but you will be safe!! all the bestNi kiasi gani cha muda mtu anahitaji kusahau... Tatizo lipo hapo natamani ningeweza kuchukua uamuzi tofauti, kwani tangu nilipojua nimekosa amani, the Body is willing but the Spirit is too weak, kifupi nampenda sana huyu binti, itz just i cant live with the fact kuwa kuna wageni walimtembelea.
Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia...
Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu....
Nisaidieni wajameni...
Huyo mwanamke alikuwa Kilaza kweli kweli miezi mitano mahusiano na watu wawili tofauti ingekuwa mwaka nadhani mkoa mzima ungeisha au wilaya .:dance: