Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

What is more important in relation: honesty or faithfullness? Suppose you can not have both!!
 
Mmege dada yake au ndugu yake wa karibu halafu u confess kwake akikusamehe muendelee na maisha
 
Katika moja ya makosa mabaya sana ni kosa katika ndoa,ni rahisi sana kumpatia rafiki au hata ndugu wa damu gari lenye thamani ya mamilioni,lakini hata ndugu yako wa kuzaliwa ikitokea kugundua kuwa ana mahusiano na mkeo
nafikiri kunaweza hata kukajitokeza vifo au uadui mkubwa.Kwa nini nimekueleza hivyo Chichi,kama mchumba wako hakuwa mwaminifu kipindi hiki cha uchumba nina wasiwasi utakuja kujuta mbeleni.Siku za mwizi ni arobani labda ndo umeshitukia lakini kwa kifupi huyo mtu si mwaminifu,ndoa ni chama ambacho waliomo wanatamani kutoka na ambao hawajaingia wanatamani kuingia kuna mambo mengi katika ndoa hivyo baadhi ya mambo yanapojitokeza kwa jinsi hii ni "warning" amini usiamini utakuja kukumbuka siku moja ukijitumbukiza.Ndugu yangu ni kazi sana kutunza asali baada ya mwezi wa asali( its difficult to keep honey after honeymoon).Epuka kuingia kwenye ndoa kama inaanza kuwa na doa.
NDOA-ukiondoa N itabakia DOA.(Ndoa imeingia dosari)
DOA- Ukiondoa D itabakia OA(ndo mwanzo wa kutafuta wa kuoa)
OA-Ukiondoa O itabakia Ahhhh....(wapambe wanakushangaaaah).
Jihadhali sana unaweza kusamehe na kisha ukasahau,msamehe kwa kosa alilokutendea ila usahau maswala ya ndoa otherwise kama nawe si mwaminifu kama yeye endeleeni na mwisho mtaumbuka.Hiki si kipindi cha kukosa uaminifu kwani dakika tano zinaweza kuzimisha ndoto yako yote.hayo ni mawazo yangu mwenye uamzi ni wewe.
 
kWANZA HILO SIO LA KUULIZA WALA KUOMBA USHAULI, WE NI KUANZISHA TU. AFTER ALL SIO MKE WAKO. KAHARIBU MWENYEWE.
 
Kakangu Chichi,

Huyo mchumba´ko asikuumize kichwa. Mwache uanze upya...alikua nao wawili huku akijua amechumbiwa? Si wa kumwamini hata kidogo. Ingekuwa mmoja...ningeweza kusema labda alishikwa na mashetani ya ngono. Wawili? mwache!!!
 
Mkionjana kabla ya ndoa basi hata mkioana uaminifu hautakuwepo....probability ya mmoja wenu kuonja baada ya ndoa is 1

kimsingi acha kuonja, subiri uoe,then ule vya halali...
 
Huyo kweli hafai, miezi mitano tu kuwa mbali nawe amemegwa na watu zaidi ya wawili. Mwambie tu it is over.
 
Kama umeleta hapa JF ukiwa tayari una uamuzi haina maana tena....ila jiulize je kwa umbali huo unamwamini tena?kama yes amuawewe...kama no pima uamuzi wako...mchumba kitu gani...na wkutambulisha si hoja....tambaa jipange upya...
 
Tabia haina dawa, hata akiacha kwa muda lazima akishakuoa/ukimuoa atamegqa/mega tena!! Kwani hakufahamu kuwa uaminifu ndio msingi wa mahusiano?
Ni vema ukafikiri kwa kina zaidi juu ya tendo alilofanya kabla ya kuendelea na maamuzi makubwa ya maisha ambayo yataku-cost baadaye
 
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae". Baada ya hapo maisha yakatuweka mbali takribani miezi mitano, lakini tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara... Chako ni chako tu, nilianza kuhisi mabadiliko kwenye mawaasiliano yetu na hiyo iliniumiza kichwa sana, Mungu si athumani siku isiyokuwa na jina nikapata kalikizo, nikaamua ku pay a suprise visit huko kwao...mengi yakatokea lakini la muhimu niligundua kuwa mwenzangu alianzisha mahusiano yasiyo rasmi kama mawili, akakiri kuwa ni kweli amemegwa na hao washkaji kwa muda tofauti... Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia... Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu.... Nisaidieni wajameni...

Wewe si ulizini nae kabla hujamuoa? sasa unashangaa nini? mnaambiwa siku zote, oeni kwanza! kiranga komo!
 
Jamani tusimdanganye ndugu yetu kuna adv na disad
mimi nimeoa na baada ya harusi nilikaa na mkewangu miezi 5 akaanza kumegwa
baya zaidi nilikaa nae uchmba miezi 24..baada ya kujua anamegwa nikanza kumega he akaamua kuwaplekea waliokuwa wanammega kule ireland..
Bada ya k urudi akasikia nampumulia rafiki yake wa karibu baadaye akujua aliekuwa akimpumulia nilisoma nae pale primary..ndipo mwanamke kikmwanza mara akasirike bilasababu mara anirushie maji ya moto...he

mwanawane nikaona isiwe tabu nkamuita nkauuliza unanidai hapana ndugu zako wananidai hapana hoo nilishukuru kwa majibu yale sikusita na kumwambia kila tulichochuma chako...akkaaa akakimbilia mahakamani

nikamshukuru mungu tena kwa mara ya pili kumbe alipata jibaab la ndoa yake inashake akamuahidi atamuoa..ajitahidi kupata talaka..nilimwambia mungu nikupe nini akajitahidi kuhonga na mahakimu ikatolewa ndani ya miezi 3..akaaendelea kupigwa na kuachika mpaka sasa anajaribu kuvuta nguvu ya kuja anashindwa.....ila alishangaa aliposikia kwamba niko na mwanamke wangu wa zamani ilibidi nikamlilie na tunaishi nae kama tunaelekea sayuni..jamani upendo na amani ni kitu kizuri katika mahusiano.

Wazo la kumshauri huyu ndugu ni kwamba kama amekuwa mbali kwa muda wa miezi 4-5 ana wawili jamani ni swalla la cross multiplication

miezi 5 bahasha 2

miezi 36(miaka 3) ???

Jibu utalipata....nakushauri ndugu usishindane na wanawake mwombe mungu akupe alietulia na wala usiangalie sana sura ya dhahabu mshukur mungu na zidi kuomba usikate tamaa kabisa...swala la kumwacha au la tunaomba uamue mwenye hakuna kitu kibaya siku ya siku ukaja na kichwa cha habari

walaaniwe wana jf wote na kutulist kisa walikushauri umwache...msaada wetu ni mmoja mwombe mungu akupe unaempenda usiongozwe na tamaa za mwili yaani just nampeda kweli jamani ,,,,utapenda majini ndugu

nami nitakuzidi kukuombea
salamu

'shaloom
UUUUUUUUUUUUUUUUUUUUuuuuuuwi
We Mama Mia umewowa?
Na vipi tena pale maji meengi kutoka ukeni ilikuwaje?
 
Hi there,

Ndugu yangu kwa kifupi ni kwamba ndoa kwa wale wakristo ni mkataba wa kudumu, hivyo unavyousaini ni bora ufanye hivyo na mtu ambaye unamwamini. Otherwise utamuoa huyu dada kwa kuwa driven na mapenzi lakini ndani ya nyumba kutakuwa hakuna moral commitment, na matokeo yake kukitokea tatizo tayari utakuwa na biasness kuwa ndiyo maana ni hana uaminifu. Ni heri utafute mtu ambaye hana doa mbele ya macho yako. Ila angekuwa ni mke, then tungesema you had a room for negotiations.

All the best, huo ni mwanzo wa challenge za ndoa
 
Mtu wangu yaani bado unauliza?? yaani kama ni mimi hata sina haja ya kufikiri mara 2, amemegwa, tena na wawili, huyo kweli ni mke ndugu yangu! Hakuna mapenzi ya hiv, huo utakua ni ulimbukeni wa wanawake! Zinduka ndugu, huyo hakufai, tafuti mwingine!
 
jamaa yangu inabidi uwe mwangalifu sana, kwa kweli uwezi kujua huko alikokwenda kumegwa ni aina gani ya mapenzi walifanya, inawezekana wewe ulikuwa unamwandaa huyo mchumba wako aje kuwa mke kwa hiyo ulikuwa unamega kwa ustaharabu, lakini alikokwenda labda walimla tigo, au alifanya sex ambazo sio njema kwa wanafamilia(groupsex) ambazo hata kama aliconfess awezi kukwambia hayo yote
biblia inasema mke mwema m2 upewa na bwana, mi naona we shukuru mumgu sana umeyagundua haya wakati bado ujainvest sana (watoto, mali,), jaribu kujiuliza hayo uliyoyaona ni maonyo kuhusu huyo mwanamke au ndo mke mwema ambaya siku zote atakuwa mkweli kwako akimegwa anakuja na kukambia rafiki yako alikuwa anamsumbuasumbua hivyo kaamua kumpa ili atulie
 
piga chini fasta kaka. kumbuka usemi usemao "aonjae asali haonji mara moja" atarudia tu. jipange upya utampata mwingine
 
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae". Baada ya hapo maisha yakatuweka mbali takribani miezi mitano, lakini tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara... Chako ni chako tu, nilianza kuhisi mabadiliko kwenye mawaasiliano yetu na hiyo iliniumiza kichwa sana, Mungu si athumani siku isiyokuwa na jina nikapata kalikizo, nikaamua ku pay a suprise visit huko kwao...mengi yakatokea lakini la muhimu niligundua kuwa mwenzangu alianzisha mahusiano yasiyo rasmi kama mawili, akakiri kuwa ni kweli amemegwa na hao washkaji kwa muda tofauti... Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia... Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu.... Nisaidieni wajameni...

"The Hardest moment in life is not when your loosing something and tears
come out from your EYES..!

But It is When, you know you are loosing something and you are forced to SMILE..it realy hurts"
 
Yani mshkaji mpenzi wako amemegwa wakati wa u-boyfriend na u-girlfriend alafu umeamua kumsamehe mbona hiyo haijakaa vizuri? kwa kuwa si mkeo mimi nakushauri uachane nae kwani atakupa ugonjwa wa moyo bure. Kwa mtu anae kupenda ni vigumu sana kufanya mapenzi na mtu mwingine ndani ya uhusiano wenu.
 
Back
Top Bottom