Mchumba Awe Mwafrica, Awe anaishi UK

Mchumba Awe Mwafrica, Awe anaishi UK

idorome

Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
28
Reaction score
7
Natafuta mchumba awe mwafrica mwenzangu na awe anaishi UK ili tuweze kuonana maana sitaweza long distance, alieko tayari tuwasiliane tuone tutafika wapi, mimi ni maji ya kunde, mrefu wa wastani, mwenye kipato cha wastani kutunza mke na maendeleo kidogo. Elimu sichagui ila asizidi 30 years maana ndio umri wangu
 
ongezea awe na makaratasi kabyserr..! Usijali mwaya utapata. Gudlucky
 
mh... makubwa!!! haya utapata inshaalah. iko mji gani?
 
duh hizo qualification sina nilidhan unataka wa hapa bongo ningekutafuta
 
Wasiliana na Frola Lyimo pengine mambo yaweza kuwa safi.
 
...njoo huku kwa Mtogole wako wengi wanao taka kuja huko UK.
 
Here i am mchumba, nna safari ya kuja UK soon
thread closed....
 
Back
Top Bottom