BlackTrump
Member
- Jun 26, 2016
- 68
- 175
Habari za weekend wananchi wenzangu,
Napenda kuwapa heshima kubwa wote wanaochangia humu JF.
Nimekuwa nikifanya research juu ya watafutao wapenzi, wake, michepuko na mirejesho yao pia.
Nimekuwa nikisita sana kuweka tangazo humu ila it's now a point of No return. SERIOUSLY nahitaji mchumba kisha tukifahamiana awe mke.
Sifa ningependa awe nazo;
Maji ya kunde au mweusi.
Asiwe mnene.
Sitojali akiwa mfupi au mrefu.
Miaka 22 - 35
Sitojali amesoma au la.
Awe muelewa.
Sifa zangu;
Mweupe mrefu.
Employed.
Sina mtoto.
Age 29.
Dar Es Salaam.
Asante kwa kusoma na usisahau kuni-pm.