Mchumba (binti) anatafutwa

Mchumba (binti) anatafutwa

raia_mwema

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
479
Reaction score
314
kwa niaba ya rafiki yangu naomba kuleta ombi hili kwa wadada wote
  • jamaa ana miaka 29
  • ni mfanyakazi
  • mrefu wastani
  • mweupe
  • amehitimu chuo kikuu
  • mkristo
  • anaishi dar es salaam
anatafuta mwanadada mweupe/maji ya kunde, awe amesoma angalau diploma, mkristo, mrefu wa wastani, umri usizidi 26!
kwa yeyote ani-pm nitamuunganisha na jamaa!
ni serious na uwe tayari kwenda kupima
 
Kama kutongoza live kashindwa.., hata kuandika pia?!
Anyways mjumbe hauawi, ila ingekuwa vizuri aje mwenyewe ajibu maswali yatokanayo na mtindiko wake hapo juu.
 
Aisee! Nimekua disqualified hapo kwenye rangi, otherwise ninge ku pm
 
Hii imeanza tena wababa kutongozea watoto wao..... Huyo jamaa atakuwa ndezi haswa,,, tena huyo mchumba lazima umpelekee chumbani tena taa ikiwa imezimwa la sivyo atakimbia kwa aibu
 
Nina umri wa miaka 26 na miezi 5, je naweza kupata nafasi?
 
Back
Top Bottom