Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Miaka ya nyuma wanaume wengi walisalitiwa na wachumba baada ya kuwasomesha shule kwa gharama kubwa wakiwa na tegemeo la kuwa wenza wao wa maisha hapa ikaibuka kauli "mchumba hasomeshwi" somo hili watu wengi walilielewa jambo hili likakoma
Sasa kutokana Tabia ya utapeli baadhi wa hawa dada zetu vijana wengi wameshalizwa wengi wameshaliwa nauli wengi wameshaumizwa baada ya kutumia pesa nyingi kumuhudumia mchumba mwisho wa siku bila kujua kumbe mwanamke anachaguo lake la mwanamme anayetaka kuishi nae kwahiyo wewe unakuwa tu kama daraja tu lakumvusha
Kumhudumia mchumba ni hasara zaidi kwako unavyomdumia mchumba tayari kama ni bidhaa wewe unakuwa unaipandisha thamani bei inapanda tayari wewe unakuwa sio level yake wewe ni kama daraja lamkufanya avuke aende kwingine
Mapenzi yanayoanza bila pesa ndio mapenzi yanayodumu na njia sahihi kumjua mwanamke wa maisha huyo atakufaa ata pale utapokwama
Kijana mchumba hahudumiwi kisa cha yule wa Mwanza aliyejiua iwe funzo