Mchumba hahudumiwi vijana

Hapa hatuzungumzii demu ambaye unapiga tu ila hauna mpango wa kumuoa

Tunazungumzia mchumba ambaye hatua inayofuata ni kumuoa.

Sioni tatizo kumuhudumia mchumba kwa kile ambacho kipo ndani ya uwezo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…