Mchumba kanikataa baada ya mimi kubadili dini sasa natafuta mwingine (mke)

Dastan Benard

New Member
Joined
Mar 2, 2020
Posts
4
Reaction score
1
Utangulizi:
December 2018 Nilienda musoma kumtembelea rafiki yangu wambura. ilipofika siku ya sabato wambura aliniambia tukasali sabato kwa sababu kwao wambura wote ni wasabato nami sikuwa na kigugumizi japo sikuwa mhumini wa wasabato nilikuwa nasali RC ikabidi niondoke na wambura kuelekea kanisa la iringo s.d.a musoma.

Mafundisho ya wasabato:
baada ya kufika pale kanisani nilivutiwa sana na mafundisho ya wasabato kama vile visa mbali mbali wakati wa shule ya sabato , kwaya nk

Kusoma biblia:
kabla ya kwenda sabato sikujua Kusoma biblia kwa utaratibu kwa sasa nafahamu Kusoma biblia vizuri kwa utaratibu na nimenunua biblia yangu.

Toka musoma hadi Arusha:
Niliporejea Arusha toka musoma niliendelea kusali sabato japo Kulikuwa na vikwazo vingi from family members.

Kubatizwa:
baada ya kupokea mafundisho mengi kutoka kwa wasabato niliamua Kubatizwa rasmi nikawa msabato pure kijenge s.d.a. Arusha

kukataliwa na mchumba.
kabla ya Kubadili dini nilikuwa na mchumba ( rose not real name) wote tulikuwa wahumini wa roman catholic nilipo mtaarifu kuhusu mimi Kubadili dini na kuhamia sabato s.d.a. alikataa katu katu kuolewa na mimi kwa sababu awezi Kubadili dini kwenda sabato pili Sheria za wasabato ni ngumu awezi kumudu tatu alisema kubadili dini ni kusaliti dini ya wazazi wake hivyo tusitishe malengo ya awali na Kila moja awe huru. njia zote za problems solving techniques zimetumika ila zimegonga mwamba rose mtoto wa kaskazini kasimika mizizi hang'olewi hata kwa winchi .

Msimamo wangu.
(I) Siwezi kukana imani yangu kwa ajili ya mwanamke
(ii) Kwa kuwa amekataa licha ya juhudi zote za usuluhishaji kugonga mwamba nimeamua kuwa huru ili nimtafute mchumba mpya atakae endana na imani yangu ya usabato.

Mahitaji yangu.
natafuta mchumba mpya msabato kama sio msabato awe tayari Kubadili dini yake na kuwa msabato umri kuanzia 26 - 35 asiwe na mtoto akiwa na form six to professor itapendeza kama anajishughulisha itapendeza zaidi.

Kuhusu mimi:
- msabato pure
- 30+ years of age
- permanent and pensionable government employee
- uwezo wa kutunza familia ninao 100%
- elimu yangu ni ya Chuo kikuuu.

Mawasiliano.
(I) pm
(ii) email adress: dastanbenard43@gmail.com
 
Kuandika hujui unategemea mchumba asikukatae ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanamke ana masikio matatu, ukilizibua la chini vizuri haya ya juu yatakusikia na kukuelewa vizuri.

mpakie vumbi la congo atarudi tu.

halafu hapo kanisani kwenu sabato hujaona pisi yoyote!? au ndo vile domo zege unashindwa kuibukia man to man hadi unatafuta kitonga huku JF.

anyways utapata tu unachokitafuta..

ukumbusho. umesahau kuweka hali yako ya uchumi, wanaizingatia sana hawa wadada.
 
Ngoja hapa naishi karibu na kanisa la sabato ntakukamatia binti mmoja
kwakweli hata mimi sabato sitaweza bora niwe muslim aisee
yote haya wameyataka wazungu watu mnaachana hivi hivi na asali wa moyo kisa dini[emoji22]
 
Eti msabato pure.

Halafu mbona mnapenda sana kulidhalilisha kanisa katoliki kuwa hawajui kutumia biblia??

Itakuwa Ni wewe tu na uzembe wako

Wakatoliki Wana masomo ya biblia Kila iitwapo leo. Tena somo Hilo huwa Ni dunia nzima.

Sasa nyie Kila kanisa na somo lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adi Dishi lako lime yumba kweli wasabato noma..
tapatalk_1546514141621.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti msabato pure.

Halafu mbona mnapenda sana kulidhalilisha kanisa katoliki kuwa hawajui kutumia biblia??

Itakuwa Ni wewe tu na uzembe wako

Wakatoliki Wana masomo ya biblia Kila iitwapo leo. Tena somo Hilo huwa Ni dunia nzima.

Sasa nyie Kila kanisa na somo lake

Sent using Jamii Forums mobile app

Bora tu umemwambia ukweli.
 
Back
Top Bottom