Hello!
Habari za wakati huu wapendwa,
Niko hapa kwa ajili ya kutafuta rafiki ambae tukifikia maafikiano tunaweza kundelea na process za uchumba mpaka ndoa.
Sifa za anayetafutwa:-
Kijana wa kiislam mwenye hofu na Mungu, Age kuanzia 28-35, Elimu at least awe University graduate mwenye kujitambua, awe ameajiriwa au amejiajiri.
Inshort kuhusu mimi ni binti wa kiislam, umri wangu ni miaka 26. Currently nafanya kazi sehemu part-time na ni mwanafunzi pia(Third year).
Kuna mengi kuhusu mimi lakini yote siwezi kuyaweka kwenye uzi huu. Kama utakuwa interested karibu PM kwa maelezo na kujuana zaidi.
Asante.