Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Sijatetea ila kuna utofauti.shoga ni mtu anaye*****.sasa hapo inaonekana jamaa ndo anapakuwa sio kupakuliwa.jinsi nilivyoona hyo picha,

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Mtoa rushwa na mpokeaji wote ni...... Malizia mkuu jibu unalo
 
Duuh duuuh ....aibu asee

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ni jamaa analiwa....Ndio maana ameweza kuvumilia harufu
 
Hawa wapo sana juzi kati kuna demu rafiki yangu alilewa akasema anamgonga jamaa yake ni msen** tuu hatukuamini
 
Kibibi cha Philadelphia kinachoburuza vichwa maji wengi WaTanzania!

Kibibi kinatoa ushauri unaoambatana na matusi,kejeri na dhihaka!

Hivi huyu niwakuitwa mshauri...?
Ahahaha.. Mkuu habari yako!?

Naona unajaribu kuweka chumvi kwenye chai ya maziwa na hatimae ionekane haifai kwa matumizi.
 
Hivi hawa celebraties wa bongo movie sijui swahilhood hasa wa kike, kuna yeyote mwenye akili timamu kweli?
 
Teh teh nilijua tu. Kwa muonekano wake hawezi kuwa mwanaume kamili. Mwanaume mrembo anipitie mbali kwa kweli..
daby mbona mnampenda sana hadi hamuambiliki??
Cc all mmu ladies
 
Ndita zishamtoka usonib bado anatafta kiki maana huyo sahv ni ile wanaita uzee mwisho wapi vile!!!!!!! Chalinze au!!!!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Wolpa usikute alikuwa anamfanyia Mambo ya ajabu mmakonde
 
Unajua mimi nikiwaonaga huwa najiuliza, hivi kweli bongo tuna celebrity wa kike anaweza kufanya lolote kubwa la maana litakalo mfanya aache legacy itakayompa heshima kwanzia sasa na kwa vizazi vijavyo?

Nikiaangalia eti hawa akina Jackline Wolper ndio A-list female celebrities wa bongo na hivi vituko vyao nabaki nacheka tu, unachosema ni sahihi kabisa hawa mademu wa kibongo maarufu kwanza hawajielewi na pili hawajui uthamani wao na kingine hawajui kutumia umaarufu wao.

Ndio maana hata sionagi kama wanapata endorsement deals za maana sababu ya kutokujielewa kwao na kuandamwa na skendo za ovyo ovyo ambazo kimsingi zinashusha profile zao bila ya wao kujua.

Wenzao akina Julieth Ibrahim,Genevieve nnaji,Jack Appiah baada ya kuangaika miaka mingi kutengeneza majina yao nakuwa makubwa, sasa hivi wanapiga endorsement deals za maana kwanzia Nigeria mpaka South A. Sasa hawa wetu hapa wametengeneza majina makubwa halafu umaarufu wao unaishia Instagram kwenye mashindano ya kipuuzi, na hapo hapo hawajui ni kwanini kazi zao haziwalipi.

Kweli bongooo bado saana, eti wema sepetu ndio role model wa akina dada waliopo vyuoni kuna mambo mengine yanachekesha saaana.
 
Ahahaha.. Mkuu habari yako!?

Naona unajaribu kuweka chumvi kwenye chai ya maziwa na hatimae ionekane haifai kwa matumizi.
Hahaha! Ebana salama kabisa,twaendelea na ujenzi wa Taifa letu...

Japo kunabaadhi ya watu washaanza rasimi kuishi maisha kama ya mashetani(kama ilivyotabiriwa).

Ushauri gani huo wa mwanamama wenye lugha nzito na dhihaka.


Je! hii si kutaka kuteka akili za wafuasi wake..?
 
Hivi hawa celebraties wa bongo movie sijui swahilhood hasa wa kike, kuna yeyote mwenye akili timamu kweli?
Kwakweli wengi wao hawajatulia!

Wapo wapo tu na skendo zao za hovyohovyo!
 

Nimeipenda hiyo hapo kwenye RED! Nioneshe ilivyo MAMA!
 
Kwahiyo NI bora kugawa k kama kashata kisa umeachwa? We huwa unatumia akili nyumbu?
how dare you, mpe heshima yake member mtukuka Ruta

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…