Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Sijatetea ila kuna utofauti.shoga ni mtu anaye*****.sasa hapo inaonekana jamaa ndo anapakuwa sio kupakuliwa.jinsi nilivyoona hyo picha,

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Mtoa rushwa na mpokeaji wote ni...... Malizia mkuu jibu unalo
 
Kumbe ni jamaa analiwa....Ndio maana ameweza kuvumilia harufu
 
Hawa wapo sana juzi kati kuna demu rafiki yangu alilewa akasema anamgonga jamaa yake ni msen** tuu hatukuamini
 
Kibibi cha Philadelphia kinachoburuza vichwa maji wengi WaTanzania!

Kibibi kinatoa ushauri unaoambatana na matusi,kejeri na dhihaka!

Hivi huyu niwakuitwa mshauri...?
Ahahaha.. Mkuu habari yako!?

Naona unajaribu kuweka chumvi kwenye chai ya maziwa na hatimae ionekane haifai kwa matumizi.
 
Hivi hawa celebraties wa bongo movie sijui swahilhood hasa wa kike, kuna yeyote mwenye akili timamu kweli?
 
Ndita zishamtoka usonib bado anatafta kiki maana huyo sahv ni ile wanaita uzee mwisho wapi vile!!!!!!! Chalinze au!!!!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Wolpa usikute alikuwa anamfanyia Mambo ya ajabu mmakonde
 
Yaani mange anakuwa kama hajuwi tabia ya mademu wa kibongo? Watu tunawkaimbia kwa sababu wengi wao hawajitambui, yaani wana akili za kitoto sana na hii mitandao ndiyo inawaharibia badala ya kuwapa sifa. Wolper alichapwa miti na mkongo kisha mkongo akampiga picha Wolper akiwa uchi na kuwasambazia marafiki zake kuwa alishamlamba demu na ananuka.
Unajua mimi nikiwaonaga huwa najiuliza, hivi kweli bongo tuna celebrity wa kike anaweza kufanya lolote kubwa la maana litakalo mfanya aache legacy itakayompa heshima kwanzia sasa na kwa vizazi vijavyo?

Nikiaangalia eti hawa akina Jackline Wolper ndio A-list female celebrities wa bongo na hivi vituko vyao nabaki nacheka tu, unachosema ni sahihi kabisa hawa mademu wa kibongo maarufu kwanza hawajielewi na pili hawajui uthamani wao na kingine hawajui kutumia umaarufu wao.

Ndio maana hata sionagi kama wanapata endorsement deals za maana sababu ya kutokujielewa kwao na kuandamwa na skendo za ovyo ovyo ambazo kimsingi zinashusha profile zao bila ya wao kujua.

Wenzao akina Julieth Ibrahim,Genevieve nnaji,Jack Appiah baada ya kuangaika miaka mingi kutengeneza majina yao nakuwa makubwa, sasa hivi wanapiga endorsement deals za maana kwanzia Nigeria mpaka South A. Sasa hawa wetu hapa wametengeneza majina makubwa halafu umaarufu wao unaishia Instagram kwenye mashindano ya kipuuzi, na hapo hapo hawajui ni kwanini kazi zao haziwalipi.

Kweli bongooo bado saana, eti wema sepetu ndio role model wa akina dada waliopo vyuoni kuna mambo mengine yanachekesha saaana.
 
Ahahaha.. Mkuu habari yako!?

Naona unajaribu kuweka chumvi kwenye chai ya maziwa na hatimae ionekane haifai kwa matumizi.
Hahaha! Ebana salama kabisa,twaendelea na ujenzi wa Taifa letu...

Japo kunabaadhi ya watu washaanza rasimi kuishi maisha kama ya mashetani(kama ilivyotabiriwa).

Ushauri gani huo wa mwanamama wenye lugha nzito na dhihaka.


Je! hii si kutaka kuteka akili za wafuasi wake..?
 
Hivi hawa celebraties wa bongo movie sijui swahilhood hasa wa kike, kuna yeyote mwenye akili timamu kweli?
Kwakweli wengi wao hawajatulia!

Wapo wapo tu na skendo zao za hovyohovyo!
 
Nimependa hapo pa "Mnajenga majina makubwa then mna**** na vinuka mkojo halafu mnaanika mitandaoni" lol
kama ana akili atajitafakari upya, wanawake wa bongo movie, ni nani aliyewaroga??? mpaka mkaamua K zenu kuzitoa 'sandakalawe' namna hiyo,
So Sad.

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app

Nimeipenda hiyo hapo kwenye RED! Nioneshe ilivyo MAMA!
 
Back
Top Bottom