Anayo kwani? Zile za kichina I mean[emoji85]Nasikia wolper ni fundi wa kuwashughulikia wasio riziki
Anawasweka yale ya bandia....kuna ubuyu kuwa huwa anamshughulikia Kiongoz mmoja hivi...Anayo kwani? Zile za kichina I mean[emoji85]
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
DuuuAnawasweka yale ya bandia....kuna ubuyu kuwa huwa anamshughulikia Kiongoz mmoja hivi...
You nailed it,khaa!
huyo Jack kafeli kweli kweli yaan hadi ana shauriwa na Mange
na Mange anaonekana ndio ana hekima kuliko yeye!!
she is pathetic akue sasa atulie umri unazid kwend huyu
Naomba mkuu uchukue [emoji109][emoji109] hizoUnajua mimi nikiwaonaga huwa najiuliza, hivi kweli bongo tuna celebrity wa kike anaweza kufanya lolote kubwa la maana litakalo mfanya aache legacy itakayompa heshima kwanzia sasa na kwa vizazi vijavyo?
Nikiaangalia eti hawa akina Jackline Wolper ndio A-list female celebrities wa bongo na hivi vituko vyao nabaki nacheka tu, unachosema ni sahihi kabisa hawa mademu wa kibongo maarufu kwanza hawajielewi na pili hawajui uthamani wao na kingine hawajui kutumia umaarufu wao.
Ndio maana hata sionagi kama wanapata endorsement deals za maana sababu ya kutokujielewa kwao na kuandamwa na skendo za ovyo ovyo ambazo kimsingi zinashusha profile zao bila ya wao kujua.
Wenzao akina Julieth Ibrahim,Genevieve nnaji,Jack Appiah baada ya kuangaika miaka mingi kutengeneza majina yao nakuwa makubwa, sasa hivi wanapiga endorsement deals za maana kwanzia Nigeria mpaka South A. Sasa hawa wetu hapa wametengeneza majina makubwa halafu umaarufu wao unaishia Instagram kwenye mashindano ya kipuuzi, na hapo hapo hawajui ni kwanini kazi zao haziwalipi.
Kweli bongooo bado saana, eti wema sepetu ndio role model wa akina dada waliopo vyuoni kuna mambo mengine yanachekesha saaana.
WanapakuanaWanapakua
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ayaaaa!We dogo sasa sura yako na ya huyu bf wa wolper mnatofauti gani??
Ukibisha naweka link ya fb yako watu wakuone mpwa
Suala sio kuwa na sura mbaya, mtu anaweza kuwa na sura mbaya lakini muonekano na features zake legelege kama mrembo!Mimi Nina sura ngumu karibu bidada
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
"Kaoge" ana sura mbaya lakini anapumuliwaHata mimi nina sura mbaya baby
sent from my Makinikia 7 using jamiiForums mobile app
Lakini huyo wolper nae si lesbo?Wolper anagongwa na shoga
Sijawahi muona na sijui anafananaje so siwezi sema nampenda au la!daby mbona mnampenda sana hadi hamuambiliki??
Cc all mmu ladies
Ni kweli tumekuwa wepesi wa kuhukumu wenzetu bila ya kuwa na ushahidi japo uhakika wa tunachowatuhumu tu. Hiyo picha haitoshi kujua kama kweli wanafanya hivyo, na kama wanafanya bado huwezi jua yupi mfanya na mfanywa. Anyway ndo tulipofika hapo.Kumuita mtu shoga uwe na ushahidi umemkuta anafanyiwa jombaa.usichume dhambi za bure.USIWE MWEPESI KUHUKUMU WENZIO.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Tatizo sisi tunaziweka hizi dhambi kwenye madaraja. Kama ushoga ni dhambi au kosa basi pia uzinzi, uongo na zinginezo ni dhambi na ziko sawa mbele ya Mungu. So kuwanyooshea vidole na maneno makali hao watoto pengine si sawa sana. Mimi kwangu ufisadi ni kosa lenye madhara makubwa sana kwa jamii kuliko hicho mnachobishania mpaka kutukanana.Kutomuita mtu shoga pia lazima uwe na ushahidi
Kwanini unatetea usichojua
Ni dhambi
hata wale mabasha wa Tanga na Mombasa nao wanamabasha, wao huu mchezo hau waachi watu salamaHapo sawa.kama alishawahi kufanyiwa bhas na yeye atakuwa shoga hyo ndo point ya msingi.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Sawa.nimeelewa.hata wale mabasha wa Tanga na Mombasa nao wanamabasha, wao huu mchezo hau waachi watu salama
Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
hata siku moja hajawahi kuongea vitu vya maana ,hapo penyewe ameweka na mitusi tele...mange huwa anaongea fact alwayz
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app