Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Unajua mimi nikiwaonaga huwa najiuliza, hivi kweli bongo tuna celebrity wa kike anaweza kufanya lolote kubwa la maana litakalo mfanya aache legacy itakayompa heshima kwanzia sasa na kwa vizazi vijavyo?

Nikiaangalia eti hawa akina Jackline Wolper ndio A-list female celebrities wa bongo na hivi vituko vyao nabaki nacheka tu, unachosema ni sahihi kabisa hawa mademu wa kibongo maarufu kwanza hawajielewi na pili hawajui uthamani wao na kingine hawajui kutumia umaarufu wao.

Ndio maana hata sionagi kama wanapata endorsement deals za maana sababu ya kutokujielewa kwao na kuandamwa na skendo za ovyo ovyo ambazo kimsingi zinashusha profile zao bila ya wao kujua.

Wenzao akina Julieth Ibrahim,Genevieve nnaji,Jack Appiah baada ya kuangaika miaka mingi kutengeneza majina yao nakuwa makubwa, sasa hivi wanapiga endorsement deals za maana kwanzia Nigeria mpaka South A. Sasa hawa wetu hapa wametengeneza majina makubwa halafu umaarufu wao unaishia Instagram kwenye mashindano ya kipuuzi, na hapo hapo hawajui ni kwanini kazi zao haziwalipi.

Kweli bongooo bado saana, eti wema sepetu ndio role model wa akina dada waliopo vyuoni kuna mambo mengine yanachekesha saaana.
Naomba mkuu uchukue [emoji109][emoji109] hizo
 
Ameongea points

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe mzuri na si kwa Wolper peke yake Bali kwa kila anayeusoma! Big up Dada Mangikimambi

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Kumuita mtu shoga uwe na ushahidi umemkuta anafanyiwa jombaa.usichume dhambi za bure.USIWE MWEPESI KUHUKUMU WENZIO.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Ni kweli tumekuwa wepesi wa kuhukumu wenzetu bila ya kuwa na ushahidi japo uhakika wa tunachowatuhumu tu. Hiyo picha haitoshi kujua kama kweli wanafanya hivyo, na kama wanafanya bado huwezi jua yupi mfanya na mfanywa. Anyway ndo tulipofika hapo.
 
Kutomuita mtu shoga pia lazima uwe na ushahidi

Kwanini unatetea usichojua

Ni dhambi
Tatizo sisi tunaziweka hizi dhambi kwenye madaraja. Kama ushoga ni dhambi au kosa basi pia uzinzi, uongo na zinginezo ni dhambi na ziko sawa mbele ya Mungu. So kuwanyooshea vidole na maneno makali hao watoto pengine si sawa sana. Mimi kwangu ufisadi ni kosa lenye madhara makubwa sana kwa jamii kuliko hicho mnachobishania mpaka kutukanana.
 
Hapo sawa.kama alishawahi kufanyiwa bhas na yeye atakuwa shoga hyo ndo point ya msingi.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
hata wale mabasha wa Tanga na Mombasa nao wanamabasha, wao huu mchezo hau waachi watu salama

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
 
hata wale mabasha wa Tanga na Mombasa nao wanamabasha, wao huu mchezo hau waachi watu salama

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Sawa.nimeelewa.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
mange huwa anaongea fact alwayz

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
hata siku moja hajawahi kuongea vitu vya maana ,hapo penyewe ameweka na mitusi tele...
matusi hayapendezi yanaondoa maana yote

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom