Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Pengine ni picha tu.. Sijui lakini

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Amezidi kutuonyesha wanao chezea bwambwa lake nakama bwambwa lawopa lingekuwa luku saizi angekuwa anakaa Giza muhenga mkubwa huyu

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Nachukia mwanaume mzuri

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Si kitendo kizuri kufanya mapenzi ya jinsia moja na mapenzi kinyume na maumbile.

Maana hata vitabu vitakatifu vimeandikwa.
Alaaniwe mtu alalaye na mtu mume.

Ni laana hii tayari.
 
Unajua mimi nikiwaonaga huwa najiuliza, hivi kweli bongo tuna celebrity wa kike anaweza kufanya lolote kubwa la maana litakalo mfanya aache legacy itakayompa heshima kwanzia sasa na kwa vizazi vijavyo?

Nikiaangalia eti hawa akina Jackline Wolper ndio A-list female celebrities wa bongo na hivi vituko vyao nabaki nacheka tu, unachosema ni sahihi kabisa hawa mademu wa kibongo maarufu kwanza hawajielewi na pili hawajui uthamani wao na kingine hawajui kutumia umaarufu wao.

Ndio maana hata sionagi kama wanapata endorsement deals za maana sababu ya kutokujielewa kwao na kuandamwa na skendo za ovyo ovyo ambazo kimsingi zinashusha profile zao bila ya wao kujua.

Wenzao akina Julieth Ibrahim,Genevieve nnaji,Jack Appiah baada ya kuangaika miaka mingi kutengeneza majina yao nakuwa makubwa, sasa hivi wanapiga endorsement deals za maana kwanzia Nigeria mpaka South A. Sasa hawa wetu hapa wametengeneza majina makubwa halafu umaarufu wao unaishia Instagram kwenye mashindano ya kipuuzi, na hapo hapo hawajui ni kwanini kazi zao haziwalipi.

Kweli bongooo bado saana, eti wema sepetu ndio role model wa akina dada waliopo vyuoni kuna mambo mengine yanachekesha saaana.


Tatizo la bongo ni kwamba watu hawajuwi nini maaana ya kuwa celebrity, wanafikiri ukishaonekana kwenye TV tu utapata pedesheshee wa kukuchezea kisha utambie wenzako, ndiyo maana wanabaki wanachezewa kila kukicha na hakuna la maana wanalolipata zaidi ya haibu na kupotezewa muda. Nasema HAKUNA celebrity wa maana hapa Bongo zaidi ya Mze Majuto na wakongwe wenziwe, wengine wote ni ushuzi tu. Angalia Wema, Lulu, Mbeba mikoba ya Wema a.k.a. Aunty Ezekiel, Snura n wengineo....hivi kweli utataka mtoto wako wa kike awaige hawa?
 
kwani kuwa na PhD kama mkuu wa nchi, ama Propesa mapumba ndio kuwa wa maana?

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app


Sasa jiulize Kiba ni mwanaume wa maana? Only reason Jokate anamlilia Kiba ampige pumbu it's because anataka kuonekana kwenye media na kuimbwa ili ajisifie kwa wenzake kisha wamwibie pumbu zake......tunarudi palepale kuwa Bongo hakun macelebrity wa maana kwani wengi wao hawajitambui bado.
 
Anatuhumiwa na mengi ajiangalie sana heshima yake...nyie wadada mkishapata majina myatumie kupata wanaume wa maana sio mnaomba omba vilaki laki kwa wasaga sumu...
 
Sasa jiulize Kiba ni mwanaume wa maana? Only reason Jokate anamlilia Kiba ampige pumbu it's because anataka kuonekana kwenye media na kuimbwa ili ajisifie kwa wenzake kisha wamwibie pumbu zake......tunarudi palepale kuwa Bongo hakun macelebrity wa maana kwani wengi wao hawajitambui bado.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...

We jamaa una vijidharau flani hivi amazing!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Yuko sahihi ushauri mzuri sana

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kwanini usianze kwanza kumshauri kamanda wema kabla ya kuja kumshauri huyu adui yako
 
Mange maneno yenye staha kwenye kushauri ni muhimu pia. Nikweli huyu dada abadilike. Watoto wetu wanamuona bongo move. Watajifunza nin kwake. Wolper My sister hujachelewa badilika. Utaheshimika.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom