Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhh.....[emoji87] [emoji87] [emoji87]Beki haipo apo goli zinaingia tu
Hata wewe unayajua jombaa ndo maana umekuja.seems unayajua sana haya mambo
Lipo linajiita sjui nani Mniache....Na sisi humu JF si tunalo shoga sijui kwa nini huwa tunaliangalia tu linapost upupu!!
Nauliza tu hapo mchumba wa wolper ni yupi!!!
Haahaaahhaaaaaa.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Mzee mbona unatetea sana watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia 1 ni mashoga fullstop
Kutomuita mtu shoga pia lazima uwe na ushahidiKumuita mtu shoga uwe na ushahidi umemkuta anafanyiwa jombaa.usichume dhambi za bure.USIWE MWEPESI KUHUKUMU WENZIO.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Ayaaa!.......![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Kama una uhakika jamaa ni shoga.sina la kujibu.ila kumuhisi mtu kuwa ni shoga si jambo zuri na halipendezi.kama una uhakika sawa.Kutomuita mtu shoga pia lazima uwe na ushahidi
Kwanini unatetea usichojua
Ni dhambi
Toa msimamo wako sasaKama una uhakika jamaa ni shoga.sina la kujibu.ila kumuhisi mtu kuwa ni shoga si jambo zuri na halipendezi.kama una uhakika sawa.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Unauhakika gani kamaUnajua maana ya kutetea?point yangu ya msingi kumuita mtu shoga wakati haujawah kumkuta.nikasema kwa picha kama hyo jamaa anaonekana ni mfanyaji.sio mfanywaji.wapo watu wanaofanyia wenzao tu.wao hawafanyiwi.wanaitwa mabasha.sio mashoga.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app