Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Na sisi humu JF si tunalo shoga sijui kwa nini huwa tunaliangalia tu linapost upupu!!

Nauliza tu hapo mchumba wa wolper ni yupi!!!
Lipo linajiita sjui nani Mniache....
Na lina I'd nyingine inaishia na Mondi, kabla lilitumia inayo ishia na Youngrrrr....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hilo punga mbona linajulikana sana tu humu
 
Walisema inatoa harufu kama panya kafia humo......hahaha

Sent from my SM-G710L using JamiiForums mobile app
 
Kumuita mtu shoga uwe na ushahidi umemkuta anafanyiwa jombaa.usichume dhambi za bure.USIWE MWEPESI KUHUKUMU WENZIO.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Kutomuita mtu shoga pia lazima uwe na ushahidi

Kwanini unatetea usichojua

Ni dhambi
 
Kutomuita mtu shoga pia lazima uwe na ushahidi

Kwanini unatetea usichojua

Ni dhambi
Kama una uhakika jamaa ni shoga.sina la kujibu.ila kumuhisi mtu kuwa ni shoga si jambo zuri na halipendezi.kama una uhakika sawa.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu....
Ebu naomba usinichonganishe na Daby kwasababu hata ivyo nayeye ni mwanaume mrembo....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wewe ndo umemtaja sasa mimi nakuaje mchonganishi? Simjui Daby so siwezi muongelea!
 
Wewe ndo umemtaja sasa mimi nakuaje mchonganishi? Simjui Daby so siwezi muongelea!
Ohhoooo......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ushauri wa maana sana, japokuwa mange is not using valuable time and words, but she has the nail on the right spot.

Sisi wanaume ni kama nzii tunapenda vidonda vilivyo oza na kutiririka usaha, dawa yetu ni mwanamke mwenye heshima kutojali ushenzi wetu na kuangalia maisha yake na heshima yake.

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Wolper amekuwa togwa ya msibani sasa...kila mtu anachota tu

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Unauhakika gani kama
Yy hafanywi? Kwa urembo
Wote huo alikua,nao

Hata girlfriend wang
Hampat kwa huo urembo

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…