Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Wolper amekuwa togwa ya msibani sasa...kila mtu anachota tu
Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya kutetea?point yangu ya msingi kumuita mtu shoga wakati haujawah kumkuta.nikasema kwa picha kama hyo jamaa anaonekana ni mfanyaji.sio mfanywaji.wapo watu wanaofanyia wenzao tu.wao hawafanyiwi.wanaitwa mabasha.sio mashoga.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
tunamuhukumu kiaje?? mbona ww umemuita wa chin ndo mfanywaji???
acheni urafiki wa kipumbavu mue mnaambiana ukweli humo vijiwen mnakoshnda kutafuta waschana
hv mtt wa kiume rijali unatoboaje masikio unatinda nyusi??
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Kuna mzuri sio sababu mzee.kuna mwanaume mzuri kama nabii yusuph?ila kama kuna watu walishamuona akifanyiwa.hapo kweli atakuwa shoga.ila mimi nilichoangalia kwenye hyo picha.kuna bottom na top.nikasema kwa jinsi hyo picha ilivyopigwa jamaa anaonekana ni top sio bottom,sasa mtu anataka uamini anachoamini yeye kwamba jamaa ni shoga,mimi hapo ndo napinga tumuite shoga kwa ushahidi upi?Unauhakika gani kama
Yy hafanywi? Kwa urembo
Wote huo alikua,nao
Hata girlfriend wang
Hampat kwa huo urembo
[Color= yellow]Triple A[/color]
Jamaa mrembo kinomaUnauhakika gani kama
Yy hafanywi? Kwa urembo
Wote huo alikua,nao
Hata girlfriend wang
Hampat kwa huo urembo
Triple A
Sawa.hayo ni maoni yako siwezi kukulazimisha uamini ninachoamini.ila kiufupi hvyo vitendo havifai.ila tusihukumu kwa chuki au kwa ujumla.ila mimi nilivyoona hyo picha.nashawishika kumuita jamaa BASHA sio SHOGA.maana ni wanaume wawili wamepiga picha kitandani.mmoja anaonekana na mapozi ya kike,mmoj anaonekana akiwa mwanaume kamili aliyejiamini.Kitu gani kinachokupa uhakika kama yeye ni mfanyaji? Hii picha ina nini cha ziada kiasi kwamba yeye asiwe mtendwa? Hapo mimi naona ni 50-50
Kale kamkia?Hivi huyu wolper ana kale kanyama?
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
mkuu sio peke yako hata mimi aisee,nilipomuaona tu akili yangu ya tatu ikaniambia jamaa sio mwenzetu kihisia,maana si kwa muonekano aliokuwa nao aisee,Sijui kwanini hisia zangu zilimtazama kitofauti Sana huyu jamaa.. Namuhurumia Wolper Tu.
Hapo tayari ushatumia! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba kuelimishwa jinzi ya kutumia JF
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Hako hakoKale kamkia?