mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sawa.sababu niko tofauti na wewe.ila mimi sio bendera fuata upepo.Kwa uzoefu wangu wa maswala ya saikolijia, nalazimika kusema wewe unajihusisha na maswala ya mahusiano ya jinsia moja.Am sorry.
....Free ideas....
Umeona eeeh huyu jamaaJamaa mrembo kinoma
Hakajawahi muacha mtu salamaHako hako
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hakajawahi muacha mtu salama
Kwahiyo NI bora kugawa k kama kashata kisa umeachwa? We huwa unatumia akili nyumbu?Mimi siwezi kuamini kamwe maneno anayosema Mange.
Vere vere true...I see what is developing
He is playing me
Vyote vinaenda kwa pamoja !Kamshauri au kamtukana?
[emoji3][emoji3]
brain is the beautiful part of the body.
Mjomba umenivunja mbavu hapa. Nilikuwa nasoma huu uzi wako huku nakula! Basi nimecheka kidogo nijipalie. ..six pak wanatabu haswa.Six paki hao kuna siku wataharisha utumbo kwenye majimu Yao ,mtu unabeba mavyuma halafu unalegeza na nati
Unaweza ukazaa mtoto wa kiume na furaha telee! Usipoangalia linakuwa wali maini kudadeki!watoto wakiume ni wakulindwa kuluko wakike skuiz too bad
Nani huyo anayewaita wenzake wapumbavu..?Ana tofauti gani na yule anayeita wenzake pumbavu