Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Kwa uzoefu wangu wa maswala ya saikolijia, nalazimika kusema wewe unajihusisha na maswala ya mahusiano ya jinsia moja.Am sorry.

....Free ideas....
Sawa.sababu niko tofauti na wewe.ila mimi sio bendera fuata upepo.
uwa nahoji na kujiridhisha.sishikiwi akili kwa kufata mkumbo.hauwezi kumuita mtu shoga na mimi nikakimbilia kusapoti jamaa ni shoga nikiulizwa una ushahidi nitajibu nini?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa mrembo kinoma
Umeona eeeh huyu jamaa
Hata akienda kwenye
Mashindano ya mis Tanzania
Hutu jamaa anawapgu warembo wote
Na anakua mshind

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Bora kinanunue dada poa kwa bei mbaya kuliko kula papuchi ya huyo wolper bulee
 
Izo picha wamepigwa na nani? Nahisi anaweza kutusaidia kutatua fumbo

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Bora nikanunue dada poa kwa bei mbaya kuliko kula papuchi ya huyo wolper bulee
 
Huyu nae binti aachane na mambo ya mapenzi yashagoma
 
Six paki hao kuna siku wataharisha utumbo kwenye majimu Yao ,mtu unabeba mavyuma halafu unalegeza na nati
Mjomba umenivunja mbavu hapa. Nilikuwa nasoma huu uzi wako huku nakula! Basi nimecheka kidogo nijipalie. ..six pak wanatabu haswa.

Sent from my LG-V522 using JamiiForums mobile app
 
watoto wakiume ni wakulindwa kuluko wakike skuiz too bad
Unaweza ukazaa mtoto wa kiume na furaha telee! Usipoangalia linakuwa wali maini kudadeki!

Sent from my LG-V522 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom