Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Kumbe mange ni mgawa K wa kimya kimya.....nouma sana

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kibibi cha Philadelphia kinachoburuza vichwa maji wengi WaTanzania!

Kibibi kinatoa ushauri unaombatana na matusi,kejeri na dhihaka!

Hivi huyu niwakuitwa mshauri...?
Ana tofauti gani na yule anayeita wenzake pumbavu
 
Iv wakuu tanzagiza imefiaga wapi?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Namfananisha na Yule calish alieliwa na wema. Ila nahisi wema amejifunza.kama analiwa basi kimya kimya
 
c8a781bdf8a5f0bcea44fc9c719bbbdf.jpg

2ddec60527322e9fd36f179938c096d9.jpg

22a682450277fa0cd23b15c1e53d4628.jpg

1223f24c30086ef61f572c98d5bf906c.jpg


Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Ushauri kuntu..... Atakayepingana na Mange mchawi

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Khaaa yani imefikia hatua mange ndo anonekana kuwa na hekima.
Kweli wolper kachemsha.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Bcuz we mwenywe unasound kishoga shoga eti top na bottom. Huez kua straight ww
Hilo ndo tatizo la watanzania.ukiuliza mwizi kaiba nini.watakwambia kwanini unauliza na wewe ni MWIZI.
Pia mnapenda kujiona mawazo yako ndo sahihi kuliko mwenzako akikupinga tu na yeye anahusika
SIKULAUMU.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Bcuz we mwenywe unasound kishoga shoga eti top na bottom. Huez kua straight ww
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Agiza bapa moja. Hapo mkuu

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Aseeh kipofu anamfundisha kipofu mwenzie kutembea....Hanna kitu apo utumbo tu,
 
Back
Top Bottom