Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Muhenga JK alisema, "Usipotaka kuliwa huli"...

Dada wa watu kaona atafute atafute mtafunaji wa nyapu na majitaka...
 
Madudu yake ya nyuma ya bumburuka mtandaoni

1084837e0e9a4c28b50386a41d49a396.jpg


Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Je umeelewa nini katika picha
Kwa hiyo jamaa ni shoga daah
 
Hahaha! Ebana salama kabisa,twaendelea na ujenzi wa Taifa letu...

Japo kunabaadhi ya watu washaanza rasimi kuishi maisha kama ya mashetani(kama ilivyotabiriwa).

Ushauri gani huo wa mwanamama wenye lugha nzito na dhihaka.


Je! hii si kutaka kuteka akili za wafuasi wake..?

Ebana hapo kwenye kuishi kama shetani ndio ujenzi wa taifa wenyewe, na hatuna namna tutaikwepa. Na kila mmoja zamu yake itafika tu hakuna namna.

Bana huyo mama sometimes naonaga ana logic lakini uwasilishaji wake ndio mbovu na hasa akichanganya na shombo! Kuhusu wafuasi hilo alishajihakikishia siku nyingi hata atumie lugha gani nzito hawezi kuwapoteza!.
 
Doooh aiseee mwanaume yupo na mwanaume mwenzie na wanajpga pcha kabsa
 
Kwakweli wengi wao hawajatulia!

Wapo wapo tu na skendo zao za hovyohovyo!
Halafu cha kustajaajibisha eti skendo za kipuuzi ndio wanazitumia kubaki kwenye limelight.


Yaani badala tuskie hata jack anatoka na Cassperyon vest au black coffee, eti tunaskia ameenda na kudate kitoto kauza sura ka Instagram amabako hata akaeleweki katamweka wapi, upuuzi plus!
 
Nothing empty... kumbe hata kopo tupu linaweza kuwa na hewa ndani.
kiukweli kabla ya kuanzisha uhusiano mpya lazima kujipa muda kutafakari uhusiano uliopita ili kujua unataka nini kwenye uhusiano ujao. kwa hili mange yuko sahihi.
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Mange Nimshauri mzuri ila sas Izo k* kutiw***a nk Nimaneno makali mnoo ananiacha chato
 
Logic inasema anayeshiriki kimapenzi na mtu wa jinsia yake ni GAY.. awe wa kike ama wa kiume, awe anatoa ama anapokea ila wote ni gay. Anayebisha hilo ni mtu ambaye hataki kujikubali yupo upande wao especially wale wanaodhani as long wanawagonga wanaume wenzao then wao ni wanaume zaidi na sio gay. Kuita top/bottom ni kuongeza vinjonjo tu ila deep down wote ni gay. Hata wale wanakodiwa kumgonga mtu ili kumlipiza kisasi wapo kundi lile. so unapotetea fikiria hilo pia
 
kwanza niuone huo upuuzi wa wolper halafu ntarudi-mwenye nao please anisaidie kushare

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume alikuwa amemuweza wolper n mm coz wakati npo nae hakuna aliyekuwa anajua
 
Nadhani ndo lenyewe mkuu juzi kati lilikuja na uzi fulani hivi nimeusahau.

Nilimaindi sana kwenye ule uzi basi!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hatari sana
 
Back
Top Bottom