BISLETT STADION
Member
- Aug 27, 2024
- 17
- 27
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu.
Endapo wewe ni mwanamke na una uhitaji wa mume basi nakufahamisha kuwa 'tatizo lako limepata suluhisho'. Mimi nina uhitaji wa mwanamke ambaye kwa kuanzia awe rafiki/Mchumba lakini baada ya kufahamiana zaidi kitabia na hulka baina yetu tukiridhiana basi tufunge ndoa na kufurahia maisha pamoja.
Awe na sifa hizi: umri kuanzia miaka 30 mwisho miaka 36. ELIMU: kuanzia Bachelor degree au zaidi na sio chini ya hapo.
Awe public sector or private sector.
Awe na umbo la kike no matter she is black or white.
NB: Kama elimu yako ni Diploma or less than that, hata kama ni MSHANGAZI UNA FEDHA ZAKO NA BIASHARA ZAKO - sikuhitaji.
Mwanamke bora ni yule mwenye kujitambua thamani yake, anayejielewa na mwenye hofu ya Mungu.
KARIBU SANA MKE WANGU MTARAJIWA 🙏🙏
Mengine tutayajadili pm.