Mchumba mwenye uhitaji wa ndoa

Sidhani kwamba mtu huyu atakua bado hana mke wake maana huyu sio wakawaida ila mungu akusaidie ukikosa njoo kwangu mimi nimeishia la saba niliumwa nikakatazwa kubeba mizigo mikubwa ikabidi niache shule kwaajili nilishindwa kubeba madaftari makubwa saba..

Ila ukikosa nitafute
 
Duuuu!
Nimepata moja tu, la miaka, labda na namba 5.

Sina hofu ya Mungu sababu siamini kama Mungu yupo, sijaajiriwa serikalini wala binafsi kwa sababu nachukia sana kuajiriwa, I wont wish it, even to my worst enemy. Nimekosa sifa, kila la kheri ndugu.
 
AM here for
 
Elimu bila upendo hivi inaweza kuwa nguzo kubwa ya ndoa kweli! Asiye kuzidi elimu hawezi kuwa mtafutaji na Baba mwajibikaji kwa familia yake kweli!.... Kila la heri dada angu. Mungu akubariki
 
Sasa elimu inahusikaje hapo Inamaana kama huna elimu na mapenzi ya kweli pia unakuwa huna Dah hii kali sawa Pambana na hao Wenye elimu
 
mkuu na huku upo? ulipotea sana hata kule kwenye ma hi-tech
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…