Mchumba mwenye uhitaji wa ndoa

Mchumba mwenye uhitaji wa ndoa

Habarini!
Mimi najitokeza kwenu Leo hii kwa mara yangu ya Kwanza kumtafuta mchumba ambae
1.Ana hofu na MUNGU, Mimi ninampenda yesu.
2.MKRISTO km sio mkristo usinipm please ,me ni muaglicana sichagui dhehebu
3. Awe na elimu iliyonizidi, Mimi nina diploma kwa sasa
4.awe mwajiriwa sekta binafsi au serikalini
5.awe mwenye kujituma,mtafutaji mwenye kuijali familia na mwenye kutambua majukumu yake km baba ni nn, Mimi pia ni mtafutaji yaani mbali na elimu yangu lkn najishughulisha na ujasiliamari.
6.Umri awe na miaka 29-34 me nina miaka 26
Nia yangu ni ya dhati, midhaha siipendi please
MUNGU AWABARIKI SANA.
.maelezo mengine mengi nafikili tutaelekezana
Sidhani kwamba mtu huyu atakua bado hana mke wake maana huyu sio wakawaida ila mungu akusaidie ukikosa njoo kwangu mimi nimeishia la saba niliumwa nikakatazwa kubeba mizigo mikubwa ikabidi niache shule kwaajili nilishindwa kubeba madaftari makubwa saba..

Ila ukikosa nitafute
 
Duuuu!
Nimepata moja tu, la miaka, labda na namba 5.

Sina hofu ya Mungu sababu siamini kama Mungu yupo, sijaajiriwa serikalini wala binafsi kwa sababu nachukia sana kuajiriwa, I wont wish it, even to my worst enemy. Nimekosa sifa, kila la kheri ndugu.
 
Habarini!
Mimi najitokeza kwenu Leo hii kwa mara yangu ya Kwanza kumtafuta mchumba ambae
1.Ana hofu na MUNGU, Mimi ninampenda yesu.
2.MKRISTO km sio mkristo usinipm please ,me ni muaglicana sichagui dhehebu
3. Awe na elimu iliyonizidi, Mimi nina diploma kwa sasa
4.awe mwajiriwa sekta binafsi au serikalini
5.awe mwenye kujituma,mtafutaji mwenye kuijali familia na mwenye kutambua majukumu yake km baba ni nn, Mimi pia ni mtafutaji yaani mbali na elimu yangu lkn najishughulisha na ujasiliamari.
6.Umri awe na miaka 29-34 me nina miaka 26
Nia yangu ni ya dhati, midhaha siipendi please
MUNGU AWABARIKI SANA.
.maelezo mengine mengi nafikili tutaelekezana
AM here for
 
Elimu bila upendo hivi inaweza kuwa nguzo kubwa ya ndoa kweli! Asiye kuzidi elimu hawezi kuwa mtafutaji na Baba mwajibikaji kwa familia yake kweli!.... Kila la heri dada angu. Mungu akubariki
 
Sasa elimu inahusikaje hapo Inamaana kama huna elimu na mapenzi ya kweli pia unakuwa huna Dah hii kali sawa Pambana na hao Wenye elimu
 
Duuuu!
Nimepata moja tu, la miaka, labda na namba 5.

Sina hofu ya Mungu sababu siamini kama Mungu yupo, sijaajiriwa serikalini wala binafsi kwa sababu nachukia sana kuajiriwa, I wont wish it, even to my worst enemy. Nimekosa sifa, kila la kheri ndugu.
mkuu na huku upo? ulipotea sana hata kule kwenye ma hi-tech
 
Back
Top Bottom