St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Hataki kibaka wa manzese[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji111][emoji5] [emoji5] nafasi bado zipo au nimechelewa.
NimeghairUsikimbie si unajua majamaa wa kaskazini wao na kitimoto ni damudamu utaweeeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje sijaenda?Wewe mbona uji pm,
Umejuaje sijaenda?
Nakuja pm
Nmeshakuja
Miguu hiyo yako au umepiga nayo tu picha?
Kama yako pitia PM yangu kwanza kabla ya kwenda kwa mchaga.
Nmeshakuja
Njoo sasa
Sijakuona bado, au nije mwenyewe.
Nipokee
Njoo sasa
Kwa hivyo vigezio vyako ndugu nenda ukatoe order kwa mama mjamzito ili akuzalie unachotaka. Saasawa. Vinginevyo piga magoti umwombe mungu na sio hizo chai hapo juu.Wasalaam / :
Bila shaka sijakosea jukwaa,
Anahitajika mke wa baadae mwenye sifa zifuatazo.
1) Aje na akili yake tu, ( anaejielewa ) asibebe mkoba wala kitenge, kama akili yako haiko vyema, chonde chonde.
2) Umri 20-30, zaidi ya hapo kigezo cha kwanza kitaangaliwa zaidi.
3) Swala la kuwa na kazi / kutokuwa na kazi / kisomo hakitaangaliwa kabisa zaidi ya kigezo cha kwanza.
4) Asiwe mke aliyeachika kwenye ndoa ya aina yeyote.
5) Asiwe wa makabila haya ( mzaramo, mluguru, mkwere, mmakonde, mndengereko, mnyagatwa )
6) Dini yeyote ile.
7) Usiwe na unene wa kutisha.
Sifa zangu :
1) Umri 30 years na miezi mitano.
2) Msomi wa degree moja, mwajiri.
3) Pesa zipo na bado zinatafutwa kwa udi na uvumba.
4) Mzaliwa wa kanda ya kaskazini.
5) Zingine tutakumbushana.
Karibuni sana from now on PM yangu iko wazi.
Hataki kibaka wa manzese[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji55] mashoga wana wivu haya ngoja nimwachie nafasi
Taratibu jamani msije toana macho.
Leo nyege zimekubanaee!![emoji28][emoji28][emoji28]ninakuja
[emoji55] atasafishia choo chake hilo povu
Atarudi na povu ilo, bila shaka una nguo chafu zinahitaji usafi.
Ukishaanza kusema wewe unapesa ipo kiukweli hata mzuka unakata maana ushatanguliza pesa kuna mapenz ya kweli hapo japo nimwanamke ila ukinitangulizia pesa naisi kama unaninunuaWasalaam / :