Mchumba na baadae mke anahitajika

Mchumba na baadae mke anahitajika

Wasalaam / :

Bila shaka sijakosea jukwaa,
Anahitajika mke wa baadae mwenye sifa zifuatazo.

1) Aje na akili yake tu, ( anaejielewa ) asibebe mkoba wala kitenge, kama akili yako haiko vyema, chonde chonde.

2) Umri 20-30, zaidi ya hapo kigezo cha kwanza kitaangaliwa zaidi.

3) Swala la kuwa na kazi / kutokuwa na kazi / kisomo hakitaangaliwa kabisa zaidi ya kigezo cha kwanza.

4) Asiwe mke aliyeachika kwenye ndoa ya aina yeyote.

5) Asiwe wa makabila haya ( mzaramo, mluguru, mkwere, mmakonde, mndengereko, mnyagatwa )

6) Dini yeyote ile.

7) Usiwe na unene wa kutisha.

Sifa zangu :

1) Umri 30 years na miezi mitano.
2) Msomi wa degree moja, mwajiri.
3) Pesa zipo na bado zinatafutwa kwa udi na uvumba.
4) Mzaliwa wa kanda ya kaskazini.
5) Zingine tutakumbushana.

Karibuni sana from now on PM yangu iko wazi.
Kwa hivyo vigezio vyako ndugu nenda ukatoe order kwa mama mjamzito ili akuzalie unachotaka. Saasawa. Vinginevyo piga magoti umwombe mungu na sio hizo chai hapo juu.
 
Kigezo kipi kimekutisha , mbona vyote vya kawaida
 
Wasalaam / :

Bila shaka sijakosea jukwaa,
Anahitajika mke wa baadae mwenye sifa zifuatazo.

1) Aje na akili yake tu, ( anaejielewa ) asibebe mkoba wala kitenge, kama akili yako haiko vyema, chonde chonde.

2) Umri 20-30, zaidi ya hapo kigezo cha kwanza kitaangaliwa zaidi.

3) Swala la kuwa na kazi / kutokuwa na kazi / kisomo hakitaangaliwa kabisa zaidi ya kigezo cha kwanza.

4) Asiwe mke aliyeachika kwenye ndoa ya aina yeyote.

5) Asiwe wa makabila haya ( mzaramo, mluguru, mkwere, mmakonde, mndengereko, mnyagatwa )

6) Dini yeyote ile.

7) Usiwe na unene wa kutisha.

Sifa zangu :

1) Umri 30 years na miezi mitano.
2) Msomi wa degree moja, mwajiri.
3) Pesa zipo na bado zinatafutwa kwa udi na uvumba.
4) Mzaliwa wa kanda ya kaskazini.
5) Zingine tutakumbushana.

Karibuni sana from now on PM yangu iko wazi.
Ukishaanza kusema wewe unapesa ipo kiukweli hata mzuka unakata maana ushatanguliza pesa kuna mapenz ya kweli hapo japo nimwanamke ila ukinitangulizia pesa naisi kama unaninunua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom