Mchumba na baadae mke anahitajika

Mchumba na baadae mke anahitajika

ZANTAC

Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
17
Reaction score
41
Wasalaam / :

Bila shaka sijakosea jukwaa,
Anahitajika mke wa baadae mwenye sifa zifuatazo.

1) Aje na akili yake tu, ( anaejielewa ) asibebe mkoba wala kitenge, kama akili yako haiko vyema, chonde chonde.

2) Umri 20-30, zaidi ya hapo kigezo cha kwanza kitaangaliwa zaidi.

3) Swala la kuwa na kazi / kutokuwa na kazi / kisomo hakitaangaliwa kabisa zaidi ya kigezo cha kwanza.

4) Asiwe mke aliyeachika kwenye ndoa ya aina yeyote.

5) Asiwe wa makabila haya ( mzaramo, mluguru, mkwere, mmakonde, mndengereko, mnyagatwa )

6) Dini yeyote ile.

7) Usiwe na unene wa kutisha.

Sifa zangu :

1) Umri 30 years na miezi mitano.
2) Msomi wa degree moja, mwajiri.
3) Pesa zipo na bado zinatafutwa kwa udi na uvumba.
4) Mzaliwa wa kanda ya kaskazini.
5) Zingine tutakumbushana.


Karibuni sana from now on PM yangu iko wazi.
 
Mkuu hio namba 5 ya makabila vipi tena huo si utakuwa ubaguzi tena. Japo chaguo ni lako lakini mambo haya ungeuliza huko PM tu. Kila la kheri mkuu[emoji111]



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom