Mchumba na baadae mke anahitajika

Mchumba na baadae mke anahitajika

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,599
Reaction score
2,161
Bila shaka sijakosea jukwaa,

Anahitajika mke wa baadae mwenye sifa zifuatazo. Umri 20-30, Dini Mkristu

Sifa zangu :

1) Umri 30 years na miezi mitano.
2) Msomi wa degree mbili, mwajiriwa.
3) Pesa zipo
 
Mambo si ndio haya sasa,kuitana kwenye fursa ndio mpango mzima. Hizo pesa ziko sh ngapi? Maana hata elfu5 nayo ni pesa ujue!!!
Ahahahaaaaaa embu muulize huyo anayetaka mke, mie nilishindwa kuuliza ndio maana nikawaita
 
Bila shaka sijakosea jukwaa,

Anahitajika mke wa baadae mwenye sifa zifuatazo. Umri 20-30, Dini Mkristu

Sifa zangu :

1) Umri 30 years na miezi mitano.
2) Msomi wa degree mbili, mwajiriwa.
3) Pesa zipo
nakuja pm
but we kabila gani na kwa sasa upo wapi??
 
Hebu mwambie anitumiepo kwanza za kufikiria hilo jukumu lililopo mbele yangu.
Inamaana yeye kakimbia uzi wake?
Maana angekuwepo angeshakisikia tunachokizungumza. Wacha nifanye juhudi za kumtafuta nimueleze kinagaubaga.
 
Kuna dada katoa ushuhuda muda si mrefu. Any way kila la kheri mkuu.
 
Back
Top Bottom