Habari wana jamvi,
Kama kichwa cha habari apo juu kinavyosomeka,
Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo;
1.Awe Muislam mwenye imani na dini
2.Umri 22-24
3.Elimu kuanzia kidato cha 6 na kuendelea
4.Mrefu na maji ya kunde
5.Asiye na kazi/aliyeajiriwa/jiajiri
Mimi ni mtumishi wa umma na kwa details nyingi tutapeana tukishaelewana
Nahitaji mtu aliye serious kwa mipango yetu endelevu.
Kama haupo serious tafadhari usije PM
Asanteni saana.