Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mara nyingi saana napata wapenzi ambao napenda kuwafanya wachumba lakin cha kushangaza ni kwamba hawajiweki tayari kwa ajili ya ndoa je hii nayo nashindwa kujua mchumba anakuaje? kama haanzii kupendwa kama mpenzi?
Na hili ni tatizo la wanaume wengi wanapenda mno wasichana wanaoigiza na baada ya ndoa wanakimbiliia jamiiforums kulalama yani mtu ukiwa muwazi wanakuonna namna gani tusiojua kuigiza kazi ipoHapa huwa kuna kazi kweli kuna watu wanapendwa danganywa kuliko ambiwa ukweli