Wewe umeshaoa? Huna mwanamke amsaidie kutafuta? Hana sisters etc
Namfahamu Fr mmoja aitwae Kiloloma! Usije ukawa ni weye!
Nami nina rafiki yangu wa kike (sifa hizo anazo) ila naye anatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:
1: awe ana Phd lakini awe muajiri sio muajiriwa
2: awe na nyumba yenye Jiko la ukubwa wa 10x10m
3: ajue kupika, kudance na asiwe mlevi
4: aweze kumpa at least 1 holiday abroad kwa Mwaka
5: awe virgin
Kama huyo rafiki yako anaqualify aniPM ili nimuunganishe na rafiki yangu.
<br />Mkuu PakaJimmy nimependa comment zako,Yote uliyosema nimeyachukua lakini ukweli ni kwamba hakutoka useja kwa sababu binafsi tuu, bali alihitajika zaidi kutumika mahali pengine kwa manufaa ya wengi na ambapo asingeweza kuendelea kuwa Fr.Ni kwa nia nzuri sana kupita maelezo yangu.Ni msomi wa juu sana kwa kiwango cha kimataifa, Na muda wa kufanya networking hapa bongo ni mdogo sana.Ana busara na ni mwenye maamuzi kuliko unavyodhania,Na wala hakusudii kuoa na kuacha huku na kule namfahamu kwa upeo wangu.
hana muda wa networkinng,,, muda na huyo umtafutiaye atakuwa nao.,aoe mzungu basi,wabongo hawamfai,sijaipenda staili yake.mkuu pakajimmy nimependa comment zako,yote uliyosema nimeyachukua lakini ukweli ni kwamba hakutoka useja kwa sababu binafsi tuu, bali alihitajika zaidi kutumika mahali pengine kwa manufaa ya wengi na ambapo asingeweza kuendelea kuwa fr.ni kwa nia nzuri sana kupita maelezo yangu.ni msomi wa juu sana kwa kiwango cha kimataifa, na muda wa kufanya networking hapa bongo ni mdogo sana.ana busara na ni mwenye maamuzi kuliko unavyodhania,na wala hakusudii kuoa na kuacha huku na kule namfahamu kwa upeo wangu.