Mchumba serious anahitajika

Mchumba serious anahitajika

Wewe umeshaoa? Huna mwanamke amsaidie kutafuta? Hana sisters etc

Mkuu Mbingopopo nimeoa and am strongly attached to single wife kama nilivyoapa kanisani mbele ya waumini na mbele za Mungu.Mke wangu naye yuko kwenye hiyo exercise pia methodology zinatofautiana. Hana sister yuko pekee yake kwa mama yake
 
Namfahamu Fr mmoja aitwae Kiloloma! Usije ukawa ni weye!
Nami nina rafiki yangu wa kike (sifa hizo anazo) ila naye anatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:
1: awe ana Phd lakini awe muajiri sio muajiriwa
2: awe na nyumba yenye Jiko la ukubwa wa 10x10m
3: ajue kupika, kudance na asiwe mlevi
4: aweze kumpa at least 1 holiday abroad kwa Mwaka
5: awe virgin

Kama huyo rafiki yako anaqualify aniPM ili nimuunganishe na rafiki yangu.

Mkuu Kaunga mimi ni Kiroroma na wala siyo Fr. Japo niliutamani sana sikupata mtu wa kunipeleka seminar
 
Mkuu PakaJimmy nimependa comment zako,Yote uliyosema nimeyachukua lakini ukweli ni kwamba hakutoka useja kwa sababu binafsi tuu, bali alihitajika zaidi kutumika mahali pengine kwa manufaa ya wengi na ambapo asingeweza kuendelea kuwa Fr.Ni kwa nia nzuri sana kupita maelezo yangu.Ni msomi wa juu sana kwa kiwango cha kimataifa, Na muda wa kufanya networking hapa bongo ni mdogo sana.Ana busara na ni mwenye maamuzi kuliko unavyodhania,Na wala hakusudii kuoa na kuacha huku na kule namfahamu kwa upeo wangu.
<br />
<br />
Mi nipo tayari,ni-pm contacts zake,najua nimetimiza vigezo vyote..
 
duh hapo kwa dini tu jamani....kazi kweli kweli...ni lini atakuja mwenye vigezo ninavyo qualify??😛layball:
 
mkuu pakajimmy nimependa comment zako,yote uliyosema nimeyachukua lakini ukweli ni kwamba hakutoka useja kwa sababu binafsi tuu, bali alihitajika zaidi kutumika mahali pengine kwa manufaa ya wengi na ambapo asingeweza kuendelea kuwa fr.ni kwa nia nzuri sana kupita maelezo yangu.ni msomi wa juu sana kwa kiwango cha kimataifa, na muda wa kufanya networking hapa bongo ni mdogo sana.ana busara na ni mwenye maamuzi kuliko unavyodhania,na wala hakusudii kuoa na kuacha huku na kule namfahamu kwa upeo wangu.
hana muda wa networkinng,,, muda na huyo umtafutiaye atakuwa nao.,aoe mzungu basi,wabongo hawamfai,sijaipenda staili yake.
 
Back
Top Bottom