Kiroroma
JF-Expert Member
- Feb 6, 2009
- 370
- 114
😛anda:😛anda:Rafiki yangu anatafuta seroius mchumba atakaye kuwa mke ndani ya kipindi kisichozidi mwaka mmoja , Kwanini rafiki yangu? Yeye amesoma kufikia ngazi ya kuwa Padre na kuamua kufanya kazi nyingine hivyo kujitoa katika useja.Amechelewa kuoa hivyo ana nia ya dhati kabisa kumpata mwenzi wa maisha.Kwa hali hiyo kaniomba kufanya head hunting za mwenye sifa zifuatazo;
Mcha Mungu awe Mkristo Mkatoliki
Msomi mwenye shahada japo ya kwanza
Mwenye utashi wa kujiendeleza kitaaluma
Umri usiozidi miaka 35
Mwenye upeo wa kimataifa na safari za nje ya nchi mara kwa mara
Kwa mwenye vigezo hivyo na ambaye yuko serious ani PM nimpe maelekezo bayana.
Mcha Mungu awe Mkristo Mkatoliki
Msomi mwenye shahada japo ya kwanza
Mwenye utashi wa kujiendeleza kitaaluma
Umri usiozidi miaka 35
Mwenye upeo wa kimataifa na safari za nje ya nchi mara kwa mara
Kwa mwenye vigezo hivyo na ambaye yuko serious ani PM nimpe maelekezo bayana.