Mchumba wa Flaviana Matata utata


Mbona picha zilimwagwa kibao mtandaoni wakati wa tukio.
 


Tatizo lenu Watanganyika huwa mna haraka sana, mwenyewe alitaka mjue mambo kwa awamu. Kwanza muone pete, kisha mumjue anayetaka kumuoa, halafu tarehe ya harusi. Lakini mmeshindwa kabisa kuvumilia mmeanza kudai picha ya shemeji/wifi yenu. Haya sasa huyu hapa kwenye picha.
Ova
 

dah! mashalaah! mukaka muhendisamuuu balaaa.
 
Acha kuzuga unapenda hii mambo
Ndo maana upo hapa...unapenda ubuyu
Wewe just admit 😆😆😆😆😆

Hahahaaaa Winnie umenichekesha ujue,ubuyu oyeeeeee 😆😆😆😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…