wazirihusika
Member
- May 17, 2013
- 83
- 82
Nimekuelewa mkuu,lakini hizo ndio sifa zangu naamini Mungu atasaidiaUkioa degree itakupa taabu baadaye. Wewe tafuta mwanamke tu na siyo degree ama diploma.
Sifa zako sawa lakini sifa za mke hazitabiriki. Unaweza kuoa mwenye degree ukawa kama umeoa aliyeishia darasa la saba.Nimekuelewa mkuu,lakini hizo ndio sifa zangu naamini Mungu atasaidia
sisi standard sevenvipi?
Hahaa hamna bana kuna wengine wanapenda weusi pia.sisi standard seven
na weusi ka oil tutaisomaaa
thank youKila la kheri mkuu
Mungu atanisaidia mkuuHio degree au diploma ni changamoto yako ya baadae
Yah Mungu anasaidia lakini hawa wanawake hawasaidiki kabsaMungu atanisaidia mkuu
Wapo mkuu niamini mimi,sema wachacheYah Mungu anasaidia lakini hawa wanawake hawasaidiki kabsa
Nitakuaminije wakati hujapata hata huyo mchumba mkuu?? Somo la ndoa lifundishwe na mwenye ndoaWapo mkuu niamini mimi,sema wachache
Napenda watoto wakike zaidiaMtoto wa kike ...!!!?