Mchumba wa kike anahitajika

Mchumba wa kike anahitajika

wazirihusika

Member
Joined
May 17, 2013
Posts
83
Reaction score
82
Nina miaka 32
mkristo
Muajiriwa
Elimu Degree
Sio mrefu sio mfupi
Maji ya kunde.

Mwanamke anayehitajika;

Miaka chini ya 27
Awe mkristo
Elimu, diploma au degree
Mweupe
Mwili wa kawaida
Kama una mtoto basi awe wa kike.

Karibu inbox tuyajenge
 
Nimekuelewa mkuu,lakini hizo ndio sifa zangu naamini Mungu atasaidia
Sifa zako sawa lakini sifa za mke hazitabiriki. Unaweza kuoa mwenye degree ukawa kama umeoa aliyeishia darasa la saba.
 
Back
Top Bottom