Mchumba wa kike anahitajika

Mchumba wa kike anahitajika

Is-haqqa

Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
28
Reaction score
46
Nahitaji mwanamke ambae anajielewa wa kuanza nae urafiki hadi kuwa wachumba. Na siku za mbele tuweze kuwa wanandoa

Sifa zangu
Ni muislamu
Umri wangu 30
Ninaishi single
Sina mtoto

Sifa za ninaemuhitaji
Mwanamke mwenye tabia za kike
Awe muislamu kama mimi
Umri wake kuanzia 21 to 26
Awe hana mtoto
Awe hajaolewa
Awe tayari kuishi nami popote pale
Asiwe na mtoto
Awe HIV negative (muhimu)

Aliye tayari inbox




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom