Mchumba wa kike anatafutwa

Mchumba wa kike anatafutwa

mambali

Senior Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
170
Reaction score
64
WASIFU WANGU

  • miaka 28
  • ni mfanyakazi serikalini
  • mrefu wastani
  • mweusi kidogo
  • mhitimu chuo kikuu
  • mkristo rc

natafuta mwanadada any colour,,mfanyakazi mkristo, mrefu wa wastani, umri usizidi 25!
kwa yeyote ani-pm !
ni serious
 
Back
Top Bottom