Mchumba wa kiume aliyeokoka anahitajika


Nimekuelewa sana na ninapokea ushauri wako
 
Yaani unataka mcha Mungu , alafu aache watoto wake aje kwako huyo hata kuwa mcha Mungu bali shetani

Aache watoto wake kivipi? Nikiolewa nae watoto wake watakuwa wetu sote . Unaoongelea vitu gani ?
 
Kwa kusema hivi tuu sikuhitaji . asante kwa kujaribu .
Lakin Dada tukuwe Serious.. Mwanaume yoyote ambae yupo 35+ na anafany biashara na kuingza mtonyo halali na hadi sasa hajaowa bas hawez kukaa JF kutafuta mke.. Mtu huyo either sio Mlokole au haamin kabisa mahusiano ya Ndoa. Wew nenda kanisani sali sana Mungu atakuona na utampata mwenye Mapenz ya Dhat naa upunguze kuweka Vigezo kama unataka kumuajiri mtu B.O.T
Ukipata Mcha mungu inatosha hzo Mali kama wew huna bas jua na yeye hana mkatafute wote kurareki
 
Bora kuchezewa mwili na mpenzi kuliko kuchezewa akili na washenzi, sasa ww badala usugue goti uombe kwa Mungu unakuja huku kuomba tena na masharti utafikr mkopo wa benk
 
niwashukuru sana kwa wale walioanza kujitokeza kwa muda na ukarimu wao na kuwasiliana na Mimi. Nafasi bado IPO mnakaribishwa .. Naomba sifa na vigezo nilivyoziweka vizingatiwe tafadhali kabla hujawasiliana na Mimi.. Karibuni. Nawapenda na kuwajali . Asante sana
 
Toa pia sifa zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…