Mchumba wa kiume aliyeokoka anahitajika

Mchumba wa kiume aliyeokoka anahitajika

Mungu akujalie upate aissee!. Caution!: walokole wengi ni waongo waongo, uzinzi ni kawaida kwao.....wengi wao hutumia njia ya kujificha ficha kufanya madhambi yao, kuwa makini : awe makini........maisha yamebadilika. Aliyeko ndani na aliyeko nje hakuna tofauti zaidi ya kwenda kukusanyika kwa unafki ile siku yao waliyokubaliana kukusanyika pamoja..
Asante kama umenielewa!! na Mungu akubaliki sana.

Nimekuelewa sana na ninapokea ushauri wako
 
Yaani unataka mcha Mungu , alafu aache watoto wake aje kwako huyo hata kuwa mcha Mungu bali shetani

Aache watoto wake kivipi? Nikiolewa nae watoto wake watakuwa wetu sote . Unaoongelea vitu gani ?
 
Kwa kusema hivi tuu sikuhitaji . asante kwa kujaribu .
Lakin Dada tukuwe Serious.. Mwanaume yoyote ambae yupo 35+ na anafany biashara na kuingza mtonyo halali na hadi sasa hajaowa bas hawez kukaa JF kutafuta mke.. Mtu huyo either sio Mlokole au haamin kabisa mahusiano ya Ndoa. Wew nenda kanisani sali sana Mungu atakuona na utampata mwenye Mapenz ya Dhat naa upunguze kuweka Vigezo kama unataka kumuajiri mtu B.O.T
Ukipata Mcha mungu inatosha hzo Mali kama wew huna bas jua na yeye hana mkatafute wote kurareki
 
Bora kuchezewa mwili na mpenzi kuliko kuchezewa akili na washenzi, sasa ww badala usugue goti uombe kwa Mungu unakuja huku kuomba tena na masharti utafikr mkopo wa benk
 
niwashukuru sana kwa wale walioanza kujitokeza kwa muda na ukarimu wao na kuwasiliana na Mimi. Nafasi bado IPO mnakaribishwa .. Naomba sifa na vigezo nilivyoziweka vizingatiwe tafadhali kabla hujawasiliana na Mimi.. Karibuni. Nawapenda na kuwajali . Asante sana
 
Habari Za Leo Wana Jf. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema . Sifa za mchumba ni:
1) Mkristo lakini asiwe wa jina , awe mcha Mungu na mwenye Hofu ya Mungu. ( Mlokole )
2)Awe na miaka kuanzia 35-40 na aliye single.
3)Awe na watoto wasiozidi wawili tuu.
4) Mwenye kazi na miradi yake halali inayoingiza kipato tafadhali.
5) Asiwe na dramas na mzazi mwenzie. Akiwa mjane itakuwa sawa pia. Awe ameshamaliza ujana wake .Sihitaji players nimewachoka maana wamenipotezea muda wangu na mengineyo mengi tuu.
6) Awe tayari kupima Afya
7)Awe mkubwa wa familia , atakayeoongoza familia katika misingi ya Yesu Kristo. Asiwe mmnywaji Pombe wala mvuta sigara .
8)Awe na upendo wa kweli kwa familia zote mbili .

Jamani naomba tuelewane kuwa siko hapa kucheza niko serious . Sitaki kuchezewa akili na kupotezewa Muda nimeezeka ambako siko baada ya wao kufanikiwa kimaisha wakaanza viburi na dharau, kama unajiona hauko tayari naomba usinitafute .Kama uko serious naomba tuwasiliane . Kwa walio nnchi za Nnje tafadhali karibuni sana . Naweza kuwa na mahusiano ya mbali nilishawahi kufanya hivyo na haikunisumbua Mimi. Niko tayari kujibu kuhusu Mimi PM kwa walio serious na wenye nia ya kweli tuu . Asante nashukuru Sana na Mungu awabariki. Asante!

dotokulwa11@gmail.com
Toa pia sifa zako
 
Back
Top Bottom